Endelea kujipa moyo wapo hatua za mwisho mzee hata haitafika 2020 hawa mbwa hawajaanza leo hii project yao n ya kitambo sana ! ukiona kitu tayari kilicho kuwa cha siri kimemfikia mwafrika ujue kishafika hatua za mwishi hii ni kutuaandaa kisaikolojia tu ili ikija tuone ni kitu cha kawaida sana!! Ngoja rais ajae wa Marekani ndiyo atakaye kuja kumalizia hii kazi! huwezi kuwakwepakitu anachosema mshana jr bado kipo Kwenye hatua za awali na bado hakijaonyesha dalili za kufanikiwa. itachukua miaka mingi sana kwa hili kutimia, na naomba nimuhakikishie mshana Jr, dawa za ukimwi(kutibu na kupona)itakuwa imeshapatikana miaka mingi nyuma kabla ya hili la microchips kutimia.
Hata katika zama za Nuhu walikuwepo watu kama wewe, wakati Nuhu akiwaambia swala la garika walimuona mpumbavu ila tukio lilivyoanza wakahangaika mpaka umauti ukawafika...endelea wala usiwe na Shaka kuwa tomaso mkuu Yesu atakuletea mikono yake uhakikishe kwa macho yako mawiliWabongo kwenye ubora wao.. hehehe upuuzi tu hakuna kitu hapo.
Sio kila kinachoandikwa kwenye internet ni kweli. Ila watanzania wengi walivyo wapumbavu kichwani hawawezi kulielewa hili. Mshana ukifungua shule utapiga hela sana kwa kua kama kiongozi wa wajinga.
Hizi conspiracy za microchips tumezisoma online toka 1999 enzi hizo wengi wenu hata hamjajua internet ni nini. Leo hii miaka 17 baadaye tumesoma technology tukaelimika, tunajua huu ni upuuzi, bado na mtasubiri sana huku mnakufa njaa, endeleeni kujipa moyo.
Hukupaswa kumjibu chochote, ungempuuza kama nilivyofanya mimiHata katika zama za Nuhu walikuwepo watu kama wewe, wakati Nuhu akiwaambia swala la garika walimuona mpumbavu ila tukio lilivyoanza wakahangaika mpaka umauti ukawafika...endelea wala usiwe na Shaka kuwa tomaso mkuu Yesu atakuletea mikono yake uhakikishe kwa macho yako mawili
Hata katika zama za Nuhu walikuwepo watu kama wewe, wakati Nuhu akiwaambia swala la garika walimuona mpumbavu ila tukio lilivyoanza wakahangaika mpaka umauti ukawafika...endelea wala usiwe na Shaka kuwa tomaso mkuu Yesu atakuletea mikono yake uhakikishe kwa macho yako mawili
Yeah kwenye kila jambo kuna mbadala wake na kinyume chake...kama ilivyo hasi na chanyaMleta mada upo sahihi lkn ninachokwamba ni kwamba kuna watu wengine as we speak right now wapo bize wanatengeneza miundombinu ya kubomoa hizo microchips kama ilivyo ulimwengu unatawaliwa na watu wabaya na watu wema pia wapo kwa ajili ya ku control damage.
Piga kwa hoja na si kuanza kutukana watu humu mkiambiwa ukweli anaanza kuangaza mimacho! hujalazimishwa kuamini wala hujaitwa humu kwahyo yafaa ukatuacha na upumbavu wetu humu!!Wabongo kwenye ubora wao.. hehehe upuuzi tu hakuna kitu hapo.
Sio kila kinachoandikwa kwenye internet ni kweli. Ila watanzania wengi walivyo wapumbavu kichwani hawawezi kulielewa hili. Mshana ukifungua shule utapiga hela sana kwa kua kama kiongozi wa wajinga.
Hizi conspiracy za microchips tumezisoma online toka 1999 enzi hizo wengi wenu hata hamjajua internet ni nini. Leo hii miaka 17 baadaye tumesoma technology tukaelimika, tunajua huu ni upuuzi, bado na mtasubiri sana huku mnakufa njaa, endeleeni kujipa moyo.
Piga kwa hoja na si kuanza kutukana watu humu mkiambiwa ukweli anaanza kuangaza mimacho! hujalazimishwa kuamini wala hujaitwa humu kwahyo yafaa ukatuacha na upumbavu wetu humu!!
Kwa mfn.Sera za ndani za Marekani na UK na mataifa mengine makubwa wakisema kwamba hakuna RAIA wa kigeni kuingia nchini mwao bila kuwa na microchip hamtaweka? Na mnavyopenda kwenda marekani ahahahah!! Kipindi kile cha miaka ya 80-90 watu wangapi walizuiwa kwenda ulaya kwa TB na HIV? Ile ilikuwa ni njia ya kutufanya tuwe stigmatized na mataifa yaliyoendelea ili tulilie misaada ya kukabiliana na gonjwa hili ili waweze kupata upenyo wa kuendelea kutuburuza
Duuh!! Aisee basi nitakimbilia huko kwenye mapango na kuozea huko maana uraini bila chip hupati kitu[emoji3]Being slave saving the devil and ending your life is a same thing...our Bible tells us that we have been created by God and our lives lies on his hands only, we're not allowed to take it off
So to reconcile with God won't help a thing..instead you need to pray hard, have faith and God will do the rest...
Hawa ndio huwakuta kutwa kucha wanasoma magazeti ya udaku na ukimkuta mtandaoni basi ni insta fb badoo na ngonoTatizo letu waTanzania wengi ni wabishi na wavivu wa kusoma na kufuatilia mambo. Makala za Micrchip ziliandikwa sana na gazeti la Mtanzania mwaka 2007. Pia wiki hio tarehe 17 radio DW kiswahili waliandika kwamba kilifanyiwa maonyesho mjini Hannover. Dunia inaenda kwa kasi mno na hakuna namna ambavyo hii kitu inaweza kukuwepeka katika kizazi hiki. Tafadhali kabla hujaamua kubisha kitu,jaribu kukifuatilia kwanza upate facts juu yake. Asante Mshana kwa kukumbushia.
hii inshu ni kweli,wiki iliyopita bbc swahili walionesha mtu kaweka chip kwenye mkono...bt sikuifatilia sanaHawa ndio huwakuta kutwa kucha wanasoma magazeti ya udaku na ukimkuta mtandaoni basi ni insta fb badoo na ngono