Human homo(binadamu)tuna sehemu ya umungu.

Khalifavinnie

JF-Expert Member
May 19, 2017
2,761
2,311
Human homo ni sehemu ya umungu(god,lyrans)wasanifu wa muundo huo.

ndivyo ilivyo waumbaji waliumba human homo kwa mifano yaki,maumbo,ufahamu,n.k kwa moja ya sehemu walizonazo wao,baasi human homo pia ni sehemu hiyo na kila kiumbe kimoja kina nafasi ya uungu kama walivyo wao,..

Mitihani mikuu ni life code & patern,kuvimudu hivyo kifikra,kiutendaji wa kimawazo na nyenzo makini za viungo tulivyonavyo...

vizuizi vikuu ni imani ya kujengewa,akili za kujengewa(ufahamu),ni ngumu kujitoa kulingana na ufungwa wa kimawazo tuliokwisha fungiwa nao ni rahisi kujitoa kama mind yako utaiweka huru (FREE WILL).. .

human homo,ataumba atafanya vyote vilivyofanywa na nafasi ya uungu,uungo ni pin code ya waliotuumba hata sisi ni miungu tutaumba pia kwani walioumba race hii waliumbwa,kwa sisi tunaozaliana itafika hatua nasi tutaumba,hivi ndivyo tulivyo katika bustani(dunia)... .

GOD IS CODER WITH YOU
 
Bibilia ni kopy baadhi ya vitabu...cjatoa katika bible...na bible ni ngumu kujiweka wazi ila endapo utakuwa umesoma hata kabbalah moja unaweza itambua vizuri.
Unaposema biblia ni copy baadhi ya vitabu una maana gani hasa?
 
Tofautisha kuumba na Kutengeneza.
Binaadamu atabaki tu kuwa mtengenezaji...!!

Ya Mungu muachie Mungu...
 
Nilitaka nicomment tofaut lakini nimeamua nikae kimya kwanza ili nipitie comments za wachangiaji wengine kwanza naeza kuongezea kitu kwenye mambo haya.
 
Positive Critical Thinking always corrode with conflict of Obligations result to conflict of interest.
Kwa ufupi kila kiumbe kipo kwa sababu ya, na kina uwezo mkubwa iwapo kitataka kuutumia kuangamiza/kusaidia wengine.

Utimamu/Conscience ndio msingi wa uwezo katika maamuzi.
 
Back
Top Bottom