Hukuniacha kwenye chungu.

Hukuniacha kwenye chungu.

2mainiR

Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
5
Reaction score
0
Haya ni majibizano kati ya mama mmoja na wanae wawili aliowaacha nyumbani baada ya mlo wa mchana.
Ninyi watoto. Nani kadokoa mboga zangu?
Mtoto1.:m cjui
mtoto2.:hata m cjui
mama.:ninyi wapumbav mtanikoma nasema nan kadokoa mboga zangu?Hembu kuja hapa.
mtoto1.:Jamani mama m cjui mi nilimuacha huyu ndani.
Mtoto2.:we vp kwani mi ndo uliniacha kwenye chungu?
 
Back
Top Bottom