Kaka umenigusa sana zombe ni fisadi aliyeua watu very directly akina mramba , rostam ,el , jkm, karamagi na wenzao wanatuua watanzania polepole so mi nafikiri zombe ahukumiwe kunyongwa instantly na hao mafisadi wengine tuwakamate tuwaue taratibu leo unakata mguu wa kulia a month later wa kushoto unasubiri miezi miwili unakata mkono naamini kwa stahili hii tanzania itanyooka tu.
Jamani Zombe ilikuwa ni rahisi kutoka, lakini hawa akina Bageni wanao sema waliua watu Sinza posta, ndo namshangaa Jaji na mahakama yake. kweli mnyonge hana haki, tunaweza kuzalisha suicide bombers.
Hukumu nzima inapatikana wapi jamani?
teh teh..........lolThanks for the infor mkuu....
Mkuu, una uhakika lakini na hii habari yako?Zombe yu huru. kazi kwenu kujadili
kawaida hukumu huwa zinachelewa sana kuchapwa, inaweza kuchukua hata miaka. Labda kwasababu hii ni kesi ya wakubwa. Kuna wananchi wengi tu, wanaotaka kukata rufaa lakini wanaambia hukumu bado haijachapwa.
Duuh, Mkuu ulikuwa wapi muda wote huo? Habari imeshajadiliwa hadi topic inakaribia kuwa closed, wewe unatuletea saa hizi 07:42 PM ?!! Anyway, thanks for your post.
Kaachiwa sasa hivi huyo zombe
Ni kweli, Zombe kaachiwa huru na mahakama kuu.
Binafsi sijawahi kuwa na imani na Jaji Masati, si kwa sababu ya hii kesi ya akina zombe, bali kesi yoyote anayopewa huyu mkulu, na ikawahusu wakubwa, lazima awashangaze wananchi.
Na huu ni usanii wa serikali kutuzuga kwamba inachukua hatua kukomesha udhalimu. kesho utawasikia wanavyopiga madomo majukwaani kwamba mahakama imeamua hivyo, kumbe walipanga kuwasafisha.
Bado najiuliza kila mara, kwanini kesi hii ilichelewa saaaana hadi "shahidi" muhimu akafariki?Na baada ya kufariki kesi ikaenda mchakamchaka?
Kwani Jaji masati alishindwa nini kwenda kumsikiliza marehemu lema muhimbili?
ngoja kwanza nikapumzike, tutaonana kesho uwanjani.
kawaida hukumu huwa zinachelewa sana kuchapwa, inaweza kuchukua hata miaka. ...Kuna wananchi wengi tu, wanaotaka kukata rufaa lakini wanaambia hukumu bado haijachapwa.
Waandishi wa habari si walikuwepo full time? Natumaini wataitoa muda si mrefu.
Jamani Zombe ilikuwa ni rahisi kutoka, lakini hawa akina Bageni wanao sema waliua watu Sinza posta, ndo namshangaa Jaji na mahakama yake. kweli mnyonge hana haki, tunaweza kuzalisha suicide bombers.