AljuniorTz
JF-Expert Member
- Jan 6, 2009
- 544
- 19
Updated by Invisible:
Watuhumiwa wote wameachiwa hawana hatia!
Hahaha...
- Ni mapenzi ya Mungu
- Hatuna jinsi, imeshakuwa tu
- Sasa mimi nifanyeje?
- Wakubwa washaamua bwana...
- Mungu atatusaidia tuu...
We acha tu!
Jamani kwa nini hatuachii mahakama ifanye kazi yake?? ninyi humu kwani ni mahakimu au majaji?? kujua sana sheria sio maana yake kukosoa kila hukumu itakayotolewa mahakamani, wewe hata kama ukiwa profesa wa sheria but ukiwa mahakamani lazima ukubali maamuzi ya mahakama otherwise kuna mahakama ya rufaa ambayo kazi yake ni kusikiliza na kutoa hukum upya kesi iliyotolewa maamuzi mahakama kuu.
Tuache kubwabwaja hapa, tunaipotosha jamii kabisa, coz siku hiz kila mtu anajua kama JF ni one of the reliable source of information kwa vyombo vya habari vya kibongo. Watakuja kuandika huko kama JF watu wamesema kwamba zombe kapendelewa!!
Naomba kuwasilisha

Sawa, mahakamani kwa jaji Masati hawana hati, na kwetu wananchi je?
Hivi wananchi pia tunaweza kumuingiza mtu hatiani?? Nilikua sijui!!
Leo una hoji haya kwa kuwa una furaha kuna siku yatakufika utarudi hapa hapa JF kulalama .Mtu mwenye akili timamu hawezi kuelewa kesi nzima inakuwa watu wote wanakuwa hawana hatia hakika hata kama ni sheria na mkondo .Ila nakupa angalizio yatakufika si siku nyingi na uwe mkweli uje JF useme.Endelea kufurahia pamoja na Zombe .
Duuh, kumbe hapa hadi uwe na undugu!? Hebu nikae pembeni mimi nisiye ndugu wa Zombe, marehemu, Jaji Masati na mwendesha mashtaka !!!Au na wewe una undugu na marehemu wale wa mahenge??
waendesha mashitaka wanalipwa laki tatu na hawana vitendea kazi wataweza kuendesha kesi kama hizi?haki imetendeka hata kama ni mwarobaini. Tatizo ni jinsi ya kuandaa mashitaka.
Jamani mmesoma hukumu ya jaji ? Umekosekana ushahidi wa kumtia hatiani zombe.
Tunaomba hukumu tuisome ndiyo tuhukumu. Vinginevyo inaonekan sisi ni watu wa kuropoka bila kuwa na ushahidi.
Kama watu makini ilitakiwa hukumu ya zombe iwepo hapa ndio tuweke comments.