Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,329
- 7,396
Sheria ni sheria wala haina uhusiano na msemeno toa misemo yako ya kijinga hapakwa hiyo na huu umefanywa na jaji husika ki chadema au?
msisahau kwamba sheria ni msumeno lakini,haukati upande mmoja.
hongera lissu.........maoni kuhusu jaji vp ni vodafasta, usalama au?????? Tujuzane wadau...
jiulize kwa nini kina Millya wanahamia chadema ndipo utuambie kama arusha kuna MUNGU au ni magamba.Arusha kwa Lema huyu Mungu hakuwepo?
yule jaji aliyetumwa arusha na special assignment ameisoma hii au anakula matunda ya kazi yake?
Unajisikiaje saa hizi uko nyuma? kunapwita?Kapigwa chini lisu kama lema
hata wakitengua hayo matokeo CCM sasa hivi ukiwasimamisha hata ukiwasimamisha na kondoo kondoo anashinda
yule jaji aliyetumwa arusha na special assignment ameisoma hii au anakula matunda ya kazi yake?