Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

Nimefanikiwa kuongea kwa simu na ndugu yangu aliyepo maeneo ya kortini, amesema wameambiwa kuwa muda umesogezwa mbele hadi saa 10 jioni ndipo hukumu itaanza kusomwa. Hana details zaidi. Lets wait.
Imekuwaje mpaka muda wa kusoma hukumu ukabadilishwa?
 
Bahati mbaya magari ya polisi yaliharibika wakiwa njiani kutoka BK kuja Biharamuro
 
Ngoja nizime pc sasa.nitarudi baadae.Nina majukumu mengine.Endeleeni kufuatilia kinachojiri.
 
Vuteni subira kidogo makamanda, tutapata yaliyojiri mda si mrefu, ukombozi hauji faster faster, pigeni moyo konde na hakika tutasinda, ijapokuwa itachukua muda kidogo
 
aaah jamani mbona wanakua na masihara mambo ya msingi?kusoma hukumu ndo imekua siasa kiasi hiki?? mlipanga saa tano..mkabadili saa tisa nw mnasema saa kumi..hivi kuna nini kizito hapo kinachofanya wabadili muda?kama alikua hajakamilisha kuandika hukumu nani alimwambia atangaze leo ndo hukumu???nashindwa kuelewa kinachoendelea...
 
huyu hakimu ameshapewa senene nini?

senene. wale wadudu bana nakumbuka vile nilikuwa najidakshia enz za utoto. kama leo dar imenyesha namna hii ingekuwa mwendo wa senene tu. kuna wa kijani ambao ni ngumu kuwadaka kwa vile wanafanana na majani, hafu wapo wengine wana rangi kama khaki hivi. dah, nakumbuka mbali xana.
 
 
Kwani mwisho Wa shughuli za mahakama ni saa ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…