Hukumu ya kesi kupinga ubunge Sumbawanga mjini

Hapa sumbawanga mjini hakuna waandishi wa habari kabisa na kama wapo basi wanaandika habari za kujitugia nazile wanazopewa na viongozi wa ssm kwa kutpewa posho na kubebwa kwenye magari ya chama. Hawana utamaduni wa kutafuta habari.Yapo matukio mengi ya vipongozi kukandamiza wananchi na kutowajibika vema lakini sijawahi kusikia wanafuatwa na kuhojiwa ili taarifa zifike kwa wananchi na watanzani wenzao wajue wenzao wa Rukwa wanashida zipi. Zaidi sasa hivi kuna sumbawanga tv ambayo Kisika anawachukua ccm na kuweka vipindi vya ovyo badala ya kukusanya wanancihi kueleza kero zao na kuwafikishia viongozi na nafikiri sababu ni u uvccm wa Juma Kisika.Kesi AESHY anaweza kutupwa nje hakimu akiwa fair!

Ni kweli kabisa mwandishi huyu wa habari anaitumia vibaya hii TV,matokeo yake haina mvuto kabisa,Mkurugenzi achukue hatua haraka.
 
Bravo cdm,yamsebo mwl wangu pole kwa kuhujumiwa na magamba ila haki itapatikana tu,
 
Tunasubiri kuyaondoa Magamba yote mkoani petu Rukwa Ruka...Tukianzia na hapa Swanga, Kalambo, Kwela na Nkasi Kaskazin/Kusini.....Ila sina imani na huyu mama RC aliyeletwa...Ni kada mkali wa Magamba!!! Tumwangalie sana nyendo zake za kutaka CDM isifike popote....Viva Yamsebo!!
 
Tunasubiri kuyaondoa Magamba yote mkoani petu Rukwa Ruka...Tukianzia na hapa Swanga, Kalambo, Kwela na Nkasi Kaskazin/Kusini.....Ila sina imani na huyu mama RC aliyeletwa...Ni kada mkali wa Magamba!!! Tumwangalie sana nyendo zake za kutaka CDM isifike popote....Viva Yamsebo!!

Wakombe,
Nimefurahi kusikia maendeleo ya hii kesi...:smile-big:
Peoples ......
 
Ndugu zangu wana Sumbawanga, Hii kesi haijaripotiwa katika chombo chochote cha habari TUNATAKIWA KUTIA BIDII kuiripoti ili iende Hewani yakutosha inaweza kusaidia tusichakachuliwe. Jamaa yangu anayo Submission ya Upande wa mlalamikaji ndugu Yamsebo, nitaiweka hewani, walau sehemu muhimu ili muweze kuiona. TUNACHOHITAJI NIKUISUPPORT TU, ili HAKI ITENDEKE; LABDA kuwe na MKONO wa mtu , au labda MAHAKAMA zitumike kupindisha HAKI YA UMMA kama dalili zote zinavyoonekana: KESI HII ni LAZIMA UCHAGUZI utenguliwe au APEWE UBUNGE MWALIMU YAMSEBO.
 
Yaah! Chadema tayari walisha peleka majunuisho yao kama ilivyoamuliwa na mahakama kwa tar 26 Machi. Imani yangu ni ileile kuwa iwapo judgement itakuwa fair kwa kesi hii Chadema wataibuka kidedea! kinachonishangaza ni kuwa hukumu imepelekwa mbali sana kwani ushahidi ulifungwa tar 13/Machi na hukumu ikatangazwa tar 30/ April. Hafu kuhusu waandishi wa habari, ni kweli wote wamewekwa mfukono, na baadhi yao ni makada wakubwa wa ccm, mfano, Yupo Ndg KISIKA yeye ni reporter wa RFA na afsa uhusiano wa Manispaa ya Sumbawanga na hivyo ile Sumbawanga Tv yeye ndo msimamizi mkuu lakini la kushangaza huwaweka ccm tu kwani ni mjimbe wa UVCCM mkoa wa Rukwa

Big Big up brother. SWALI LA MWISHO position yetu namna gani? Namaanisha position ya YAMSEBO katika KESI ikoje?
 
Ipo siku mahakam itakuwa tanuru la moto kwa madhalimu,tunaomba mahakama ay ICC iwe ndiyo inasikiliza kesi hizi tumechoka kunyang'anywa haki zetu
 
Asante kaka kwa kututoa tongotongo usichoke kutupa kama hizi acha na magamba ila kuwa makini na hao magamba. Sisi hakuna kulala hapa Arusha mpaka kieleweke.
 
Kwa mahakama hizi za ki-CCM hakuna mbunge hata mmoja wa CCM atakayepoteza jimbo. Ila CDM kuna wabunge watatu mpaka watano watavuliwa ubunge na mahakama-CCM.
 
Wana JF kesho tar 27 ni siku ya hukumu ya Mbunge wa Sumbawanga Mjini kupitia CCm - Aeshi Khalfan Hilal alilowekewa na aliekua mgombea wa chadema pls walio huko watujuze kitakachojiri nimeona tukumbushane ili tuweze kupata update mapema.
 
Kila ninaposikia jina CHADEMA nahisi kichefuchefu na kinyaa so ni vyema mahakama ikafanya kazi yake kama ilivyofanya A.town.
 
Kila ninaposikia jina CHADEMA nahisi kichefuchefu na kinyaa so ni vyema mahakama ikafanya kazi yake kama ilivyofanya A.town.

kwasababu unajua wakiingia madarakani watakata milija unayo tumia kunyonya watanzania wenzio
 
Mkuu CDM walikukosea nini?
Punguza ghadhabu yako usije ukapigwa kofi na Mungu.

Kumbuka CDM wana Mungu, CCM wana Freemason
Kila ninaposikia jina CHADEMA nahisi kichefuchefu na kinyaa so ni vyema mahakama ikafanya kazi yake kama ilivyofanya A.town.
 
Hukumu ya hiyo kesi ni tar 30 April siku ya Jumatatu. Mimi niko Sumbawanga na siku ya mwisho ya kuhitimisha ushahidi nilikuwepo na siku hiyo hiyo nilianzisha uzi kuelezea yalojili katika kesi hiyo! Ni matumaini yangu, ya wanasumbawanga na watanzania wapenda maendeleo na wanamageuzi kwa ujumla kuwa mahakama itarudisha heshima yake kwa kutenda haki isiwe kama Arusha mjini
 
Back
Top Bottom