Hukumu ya kesi kupinga ubunge Sumbawanga mjini

Kila ninaposikia jina CHADEMA nahisi kichefuchefu na kinyaa so ni vyema mahakama ikafanya kazi yake kama ilivyofanya A.town.

Mungu akurehemu na CCM yako. Bila shaka wewe ni mmoja wa wale walioibia taifa na CCM yenu
 
Tuombe Mola Jaji afanye kazi yake pasi na kuingiliwa na kitu chochote au muhimili wowote wa Doula na haki itendeke kwa wote.

Kila la kheir
 
CCM kushindwa ni ngumu. Hawa jamaa hata wakikatiwa rufaa,mahakama ni mali ya serikali na serikali yenyewe ndo hii ya CCM!
 
Kila ninaposikia jina CHADEMA nahisi kichefuchefu na kinyaa so ni vyema mahakama ikafanya kazi yake kama ilivyofanya A.town.

:target:Lazima utajisikia hivyo, kwa kuwa ccm ni jipu lilioiva, linahitaji kukamuliwa. Na mkamuaji mwenyewe aliyebobea ni CDM. Na bado utatuchukia hadi upasuke. M4C ni kimbunga cha Katrina!!!.
 
Kila ninaposikia jina CHADEMA nahisi kichefuchefu na kinyaa so ni vyema mahakama ikafanya kazi yake kama ilivyofanya A.town.

Ni lazima usikie kichefuchefu maana mafisadi wote wakisikia cdm ikitajwa wengine pressure juu wengine sukari juu wewe kichefuchefu! Hayo ni maandalizi ya kifo hapo 2015 makamanda wakiingia state house! Ila bado una nafasi ya kutubu makosa yako! kurudisha chochote ulichokwapua kifisadi na kujiunga na jeshi la ukombozi, kinyume cha hapo nahisi ikifika 2015 lazima utakufa maana hapo itaingia na pressure na sukari plus kichefuchefu kwisha habari yako! ushauri huu ni wa bure sitaki unilipe!!
 
kila ninaposikia jina chadema nahisi kichefuchefu na kinyaa so ni vyema mahakama ikafanya kazi yake kama ilivyofanya a.town.

yani unavyojisikia ndo hivyo na mimi nikisikia ccm bora mahakama ya segerea ifanye kazi yake kama ya singida ilivyofanya kazi yake kwa singida
 
Kila ninaposikia jina CHADEMA nahisi kichefuchefu na kinyaa so ni vyema mahakama ikafanya kazi yake kama ilivyofanya A.town.

kama ambavyo mamako alivokuwa anasikia kichefuchefu wakati katiwa mimba yako kilabuni....
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom