Hukumu ya kesi kupinga ubunge Sumbawanga mjini

Mkuu CDM walikukosea nini?
Punguza ghadhabu yako usije ukapigwa kofi na Mungu.

Kumbuka CDM wana Mungu, CCM wana Freemason

mkuuu chadema imeoza yani huwezi kuamini jinsi wakina mbowe wanvyotafuna ela zetu za m4% alafu zitto kajenga hotel pale dodoma na hizo pesa kapata wapi?
 
Wana JF kesho tar 27 ni siku ya hukumu ya Mbunge wa Sumbawanga Mjini kupitia CCm - Aeshi Khalfan Hilal alilowekewa na aliekua mgombea wa chadema pls walio huko watujuze kitakachojiri nimeona tukumbushane ili tuweze kupata update mapema.

Ningefurahi sana atokomee mbakaji aliyebobea huyu. huyu si alisema alifanikiwa kuuzika msalaba huko Sumbawanga?
 
Kila ninaposikia jina CHADEMA nahisi kichefuchefu na kinyaa so ni vyema mahakama ikafanya kazi yake kama ilivyofanya A.town.
Saga chupa unywe kwani utasikia sana CDM, It is the in thing and CCM a rotting carcass, RIP
 
Amejichanganya, hukumu ya tar 27 ni ya Tundu Lissu
Hukumu ya hiyo kesi ni tar 30 April siku ya Jumatatu. Mimi niko Sumbawanga na siku ya mwisho ya kuhitimisha ushahidi nilikuwepo na siku hiyo hiyo nilianzisha uzi kuelezea yalojili katika kesi hiyo! Ni matumaini yangu, ya wanasumbawanga na watanzania wapenda maendeleo na wanamageuzi kwa ujumla kuwa mahakama itarudisha heshima yake kwa kutenda haki isiwe kama Arusha mjini
 
Mkuu kwa hali itakavyokuwa CHADEMA watakukera sana.
Kwa kukushauri ni bora ujitangulize mbele ya haki uepukane na huu moto wa CHADEMA.
Chukua sumu ya panya koroga na maji unywe uepukane kabisa na moto.
mkuuu chadema imeoza yani huwezi kuamini jinsi wakina mbowe wanvyotafuna ela zetu za m4% alafu zitto kajenga hotel pale dodoma na hizo pesa kapata wapi?
 
kweli wana CDM hamna adabu kwa matusi hivi kweli mtajenga nchi kwa hali hii maana hamna tofauti na kamanda lusinde, ndio maana zitto kabwe kashaamua kuwaacha na siku hizi aandiki chama anachotekea yy anaandika Kigoma kaskazini badala ya CDM.
 
mkuuu chadema imeoza yani huwezi kuamini jinsi wakina mbowe wanvyotafuna ela zetu za m4% alafu zitto kajenga hotel pale dodoma na hizo pesa kapata wapi?

wewe lazima utakuwa una fi.,..wa.unamjua zito by profesional au unamjua kama mbunge tu wa kigoma sehemu
flani? Upumbavu wako ndio wako wa kutokuelewa ndio unaokufanya uropoke.
 
kweli wana CDM hamna adabu kwa matusi hivi kweli mtajenga nchi kwa hali hii maana hamna tofauti na kamanda lusinde, ndio maana zitto kabwe kashaamua kuwaacha na siku hizi aandiki chama anachotekea yy anaandika Kigoma kaskazini badala ya CDM.

zito mashine ingine , we ***** tu,unataka kuficha mwanga kwenye giza,unafiki utakutesa sana,angalia watu wachache bungeni wanavyo wapeleka majizi ya sisiemu kama vile hayana akili,simama katika ukweli na hakuna litakalo shindikana.gamba wewe
 
kweli wana CDM hamna adabu kwa matusi hivi kweli mtajenga nchi kwa hali hii maana hamna tofauti na kamanda lusinde, ndio maana zitto kabwe kashaamua kuwaacha na siku hizi aandiki chama anachotekea yy anaandika Kigoma kaskazini badala ya CDM.

Mimba ya kwanza huwa inasumbua sana
 
Kila ninaposikia jina CHADEMA nahisi kichefuchefu na kinyaa so ni vyema mahakama ikafanya kazi yake kama ilivyofanya A.town.

Ngoja nikuletee udongo au mkaa, nina uhakika hicho kichefu chefu kitaisha, chezea udongo kutoka moro wewe
 
mkuuu chadema imeoza yani huwezi kuamini jinsi wakina mbowe wanvyotafuna ela zetu za m4% alafu zitto kajenga hotel pale dodoma na hizo pesa kapata wapi?

Iko pande zipi za Dom hiyo hotel ya Zitto na inaitwaje? Nataka niwe mteja wa hiyo hotel kila nikizuka Dom.
 
kweli wana CDM hamna adabu kwa matusi hivi kweli mtajenga nchi kwa hali hii maana hamna tofauti na kamanda lusinde, ndio maana zitto kabwe kashaamua kuwaacha na siku hizi aandiki chama anachotekea yy anaandika Kigoma kaskazini badala ya CDM.

Sasa hao ambao hawana matusi wametufikisha wapi? Je katika hali isiyo ya kawaida(worst case scenario) ukipewa kiongozi mwenye matusi anayetetea maslahi na rasilimali za taifa na mwingine ambaye hana matusi lakini anakula na kuiba rasilimali za taifa utachagua yupi?

Sioni kama haya ni matusi,ni watu wanatoa "frastrations" zao.Maana kwa haya yanayoendelea humu nchini na wahusika kukaa kimya inahitaji mtu ambaye aidha si mtanzania au ambaye anafaidika na udahlimu na wizi unaondelea kusema kwamba mambo ni shwari. Inabidi uwe na moyo wa kichaa kuitetea serikali ya CCM na CCM yenyewe kwa yale yanayoendela humu nchini
 
Mimba hiyo...coz wanaume wamesha kufanya kazi...ulichekelea kupanua..sasa chekele na kichefuchefu
Kumbe akina Lusinde kwa magamba ni kila mmoja? Haya si macho yetu, ila najua huwezi kutosikia neno CDM kwa kipindi hiki kwa hiyo kama hupendi kusikia neno CDM tafuta kamba mapeeeema, urahisishe maisha
 
Back
Top Bottom