Okay, ni vyema na haki.Kama una command ya kiingereza soma. Utaona kuwa people are smart! Pamoja na kuwa ni utapeli, lakini ulivyokuwa planned , Alex yuko smart.
All in all, Court of Appeal imempiga chini na damages, costs juu!
Mkurya wa MusomaDuh
Bwashee Retired huyu Msama ni mmachame au Mgogo? 🐼