rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 15,263
- 20,290
Ila Kuna Mambo yanafanywa na baadhi ya members sijui ni makusudi au bahati mbaya ni Kama wanataka kuitafutia kesi jamiiforums ili ifungiwe ni vema kuwadhibiti watu wenye mwelekeo huo
hili limepita, mimi nilidhani hii kesi ipo kwa sababu kuna member ”kaharibu” lakini imeacha funzo kwamba mahakama zetu kwa kiasi fulani kidogo sana zipo huru
johnthebaptist kabadilika sana wikii hii ila naona umemsahau paschal Mayallahakiyanani uzi huu ni kama kirusi dizaini ya COVID-19 kwa JF members wafuatao:
johnthebaptist, Mwigulu Nchemba, Etwege, Magonjwa Mtambuka, kipara kipya, USSR, Mzee Mwanakijiji
Mkuu ni kwamba umelewa, au huu uandishi ni mambo ya shule za kata?
pamoja mkuu,
,leo umetupa mwanga jinsi kitengo cha cybersecurity kinavyofanya kazi,,,
na hii inaonyesha tu,jinsi mitandao ya simu wanavyouza data zetu.......
Mkuu, huyo jamaa ndio walewale!Mkuu,
Unadhani katika hizo barua nimepishana vipi nao? Ukinishauri a better approach itapendeza; kusema hivi tu bila kutoa ushauri wa nini hasa cha kufanya unaniacha njiani.
Mkuu struggle kama hiz watu hawapewi pole bali wanaambiwa hongera au kongole!Pole sasa mkuu , pia Tuko pamoja.
Watu wanajadili ya maana wewe mwenzangu unaleta upupu hapaHongera . Lakini vipi kuhusu notification kwa jf app??