Hukumu dhidi yangu: Shukrani kwa watanzania – Maxence Melo

Status
Not open for further replies.
Pole sana mkuu Melo . yaani hawa polisi wameshakuwa na akiri kama za CCM, badala ya kufuatiria taarifa et wanamfuatilia mtoa taarifa.
 
Pole Sana ndugu mwenyezi Mungu atapigana na watesi wetu hawapendi kuiona jamiiforums ikipepea halafu inaumiza Sana kuona wabaya wetu wengine tunao humu ndani. Siku yaja lile genge la wasiojulikana litasambalatika vibaya Mwaka Huu ni Mwaka Wa maamzi.
 
pamoja mkuu,
,leo umetupa mwanga jinsi kitengo cha cybersecurity kinavyofanya kazi,,,
na hii inaonyesha tu,jinsi mitandao ya simu wanavyouza data zetu.......
 
pamoja mkuu,
,leo umetupa mwanga jinsi kitengo cha cybersecurity kinavyofanya kazi,,,
na hii inaonyesha tu,jinsi mitandao ya simu wanavyouza data zetu.......

Unashangaa kimya kimya mtu anadakwa, baadae unakuja kuambiwa ni kitu aliandika mtandaoni.

Anyway, pia tunatakiwa kupima namna ya uwasilishaji wa taarifa, hatuko safe kiivyo, leo tunaye Mello. Atleast JF kwa sasa ndiyo sehemu pekee unaweza kuwa huru kutoa dukuduku lako juu ya uozo wa serikali ya 5 usibighudhiwe.

Tuwaombee viongozi wetu wawe na busara, watuache tupate sehemu ya kumwaga nyongo zetu.
 
Poleni sana kiongozi na hongera pia!, nimeelewa kinachoendelea huko..hapo nyuma nimetafutwa na jeshi la police sababu ni hiyo hiyo ila namshukuru Mungu limekwisha.

Kuna jambo niliandika liligusa mahala pabaya (jambo lenyewe nilisikia walilifanyia kazi baada ya ule uzi wangu) ila wakawa wananitafuta kupitia namba za ndugu zangu ili wanipate wanidhuru daaah nilichoka sana nilipopata habari.

Now nipo freshi nimegundua upo nyuma yetu unatupigania kiume, nilianza kukata tamaa kiaina ila sasa najipa moyo napiga hatua pia.
 
Hapa ndiyo huwa nashindwa kabisa kuvielewa vyuo vyetu...vinajua sana kuhonga zile Degree zao za "heshima"!!
 
Pole sana pia usichoke hii dunia yote ni ya binadamu, tumuombe mungu yapite na mengine yajayo pia uendelee kuwa jasiri zaidi na zaidi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom