Huku uswahilini kwetu

Huku uswahilini kwetu

Wana MMU

Yaani huku uswazi kwetu Morogoro Road(Dar es Salaam) kuanzia kituo cha Bigbrother(Urafiki), Manzese kwenda mpaka Magomeni vile vituo vyoote vya Mabasi ya Mwendo kasi(BRT) waswazi washageuza sehemu za appointment kukutania na wachumba.

Ukipita mida ya jioni kuanzia saa moja moja kijua kimezama utakuta watu wamekula zao pozi ni mwendo wa wawili wawili mwanzo mwisho.

Watu hawataki bugdha, wengine wakizidiwa wanaamua kumalizana hapo hapo , yaani ni full burudani.

Kinachonishangaza japo ni barabarani kweupeee lakini hakuna mwenye time na life ya mtu, wenye kukamatana wamekamatana, wenye kudendeka ndo usiseme, wenye kupinduana yaani ni vululu vululu.


Namtafuta kipenzi changu asigwa na shemeji yangu Bujibuji twende na sie tukapunge upepo pale argentina tutumie hii fursa kabla ya mwaka kuisha tuone ladha ya mapenzi ya kiswazi. lol

waache wa-enjoy sasa hivi....mradi ukikamilika ndio mwisho wao coz mtu hataweza kuingia kwenye kituo bila smartcard/tiketi iliolipiwa....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom