Huku uswahilini kwetu Morogoro Road(Dar es Salaam) kuanzia kituo cha Bigbrother(Urafiki), Manzese kwenda mpaka Magomeni yaani vile vituo vyoote vya Mabasi ya Mwendo kasi(BRT) waswazi washageuza sehemu za appointment kukutania na wachumba.
Ukipita mida ya jioni kuanzia saa moja moja kijua kimezama utakuta watu wamekula zao pozi ni mwendo wa wawili wawili mwanzo mwisho.
Watu hawataki bugdha, wengine wakizidiwa wanaamua kumalizana hapo hapo , yaani ni full burudani.
Kinachonishangaza japo ni barabarani kweupeee lakini hakuna mwenye time na life ya mtu, wenye kukamatana wamekamatana, wenye kudendeka ndo usiseme, wenye kupinduana yaani ni vululu vululu.
Namtafuta kipenzi changu asigwa na shemeji yangu Bujibuji twende na sie tukapunge upepo pale argentina kabla ya mwaka kuisha tuone ladha ya mapenzi ya kiswazi. lol
Hujasikia ule wimbo "mwanaume kwa mwanaume ni kama mfupa kwa fisi" ??
Watanzania sisi ni malimbukeni sana, ukiacha tu kugeuza hayo maeneo kama gesti bubu bali wengine ndio wameyafanya kama magenge yao ya biashara...
Shosti haya mambo we acha tu.
Mambo tayari.
halafu subiri siku wakija kuondolewa hayo malalamiko utakayo sikia
"oooooh sie tuna watoto tunasomesha kwa biashara hizi tunazofanya hapa sasa wanatutimua twende wapi mara ooh serikali inataka watu wawe majambazi" yaani ujinga ujinga mtupu, utafikiri kama hawajui kwamba hiyo ni barabara....
Mchumba, mbona huko kwenu raha??Wana MMU
Yaani huku uswazi kwetu Morogoro Road(Dar es Salaam) kuanzia kituo cha Bigbrother(Urafiki), Manzese kwenda mpaka Magomeni vile vituo vyoote vya Mabasi ya Mwendo kasi(BRT) waswazi washageuza sehemu za appointment kukutania na wachumba.
Ukipita mida ya jioni kuanzia saa moja moja kijua kimezama utakuta watu wamekula zao pozi ni mwendo wa wawili wawili mwanzo mwisho.
Watu hawataki bugdha, wengine wakizidiwa wanaamua kumalizana hapo hapo , yaani ni full burudani.
Kinachonishangaza japo ni barabarani kweupeee lakini hakuna mwenye time na life ya mtu, wenye kukamatana wamekamatana, wenye kudendeka ndo usiseme, wenye kupinduana yaani ni vululu vululu.
Namtafuta kipenzi changu asigwa na shemeji yangu Bujibuji twende na sie tukapunge upepo pale argentina tutumie hii fursa kabla ya mwaka kuisha tuone ladha ya mapenzi ya kiswazi. lol
Watanzania sisi ni malimbukeni sana, ukiacha tu kugeuza hayo maeneo kama gesti bubu bali wengine ndio wameyafanya kama magenge yao ya biashara...
Kumbe inawezekana??
inawezekana tu ....dunia ni yako chaguo ni lako