Huku US hakukaliki

Huku US hakukaliki

Maandamano ni character ya US. Ni tabia ya watu wanaopenda uhuru.

Nchi yenyewe ya leo imeanzishwa kwa watu kuandamana kutoka Ulaya kuja Marekani. As a political protest against Europe's hierarchical life and lack of freedom.

Nitashangaa mwaka ambao US kutakuwa hakuna maandamano.

Marekani hata kwenye familia watoto wanaweza kuandamana kupinga udhalimu wa baba yao.

Ukishangaa maandamano Marekani utajionesha tu kuwa huijui Marekani.
Hapo kwenye familia kuleta mgomo/ maandamano 😁 kibongo bongo ni kutandikwa mbokoo za makalioni

Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya filauni.
 
Mtoa taarifa kadanganya?
Nimetoka Buc-ee’s sasa hivi. Shida Iko wapi?

IMG_7295.jpeg


On my way home. Where’s the problem?

IMG_6421.jpeg
 
Back
Top Bottom