Huku ni Kujikweza au Ushamba?

Ushamba au Ulimbukeni? hapo nyuma kuna watoto, unafikiri anawajengea picha gani kichwani kuhusu kilimo? Na kuna kitoto kimebebeshwa sabuni kwa umaridadi kweli kweli. Mnafiki sana huyu mzee ndio maana mwili wake hauna shukrani, hang'ai wala hashine

Hiyo picha ya Mizengo Pinda tunaiita Sharobaro Generation!
 
Si kujikweza, bali ni kufanya mambo bila fikra thabiti. Unaendaje kupanda mti ukakubali kusimama juu ya mkeka na door mat - wasifanye mambo kama wako remote controlled - kama mshika remote kakosea basi na wewe mkuu unafanya hivyo hivyo.
 
Kwani enzi hizo hapakuwa na Mikeka wakamuwekea Mwalimu Nyerere?
securedownload.jpeg

Huyu mzee alikuwa na hekima na busara sana....yeye kama kiongozi alijua kuwa yeye ni kioo hivyo wengine wanatakiwa kuiga kwake....sio hii mijitu ya siku hizi.......hopeless!!
 
Sina hakika hawa viongozi huamua haya mambo kwa kiasi gani, na hukuta sehemu ishaandaliwa kiasi gani.
 
Sina hakika hawa viongozi huamua haya mambo kwa kiasi gani, na hukuta sehemu ishaandaliwa kiasi gani.

Nadhani hata kama ameandaliwa, yeye kama kiongozi anatakiwa aoneshe mfano bora. Anaweza kuchagua kutokanyaga mkeka akiamua na hakuna kitakachoharibika ila kwa kuwa wamejivisha u-Mungu mtu kila ambapo wanakutana na 'wananchi wa kawaida' utaona mambo kama haya!
 
hana lolote! Tofauti na wa tz walivyomfikilia anaganga njaa tu pointless kibao..mtu wa kukurupuka! Sasa hivi kilimo kwanza kimemshinda kimyaaa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom