Huku ni Kujikweza au Ushamba? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huku ni Kujikweza au Ushamba?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Bushbaby, Apr 2, 2012.

 1. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Unafiki....jpg

  Hapa yupo na Mzungu....... kisa mzungu hakutaka kukanyaga kanga wala mkeka........


  IMG_7819.JPG

  Hapa Akiwa na Wamatumbwi....atadai mkeka...kanga...nk eti asichafuke....usanii mtupu!!
   
 2. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160


  Duh jamaa kanikumbusha suruali za mchelemchele za 1980s


  [​IMG]
   
 3. c

  collezione JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Haha, achana na viongozi wetu. Ngoja 2015 ndo kitaeleweka. Si wameshafanya uongozi na ufalme.
   
 4. c

  collezione JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Haha, achana na viongozi wetu. Ngoja 2015 ndo kitaeleweka. Si wameshafanya uongozi ni ufalme.
   
 5. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Viongozi wetu wako busy kutumikia wazungu sio sisi wamatumbi wenzao.
   
 6. G

  Godyp Senior Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Waachen watachafuka!na kuumia miguu! meeeeeen!
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Nadhani hiyo miti aliyoipanda ilishakauka kitambo sana.
   
 8. s

  shamsengi Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka mtoto wa mkuliuma sijui analima nyama kwake?haina shida sana tunachohitaji ni mabadiliko...watu tubadilike
   
 9. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Duh yani shambani na mkeka na door-mat, huyu ndo mtoto wa mkulima, ndo babake alivyokuwa analima huko kwao? kwikwikwi
   
 10. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  huyu mama hapa pembeni yake kanifurahisha sana...amemaanisha anachokofanya.....Mtoto wa mkulima hata udongo hajashika!!
   
 11. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Ushamba au Ulimbukeni? hapo nyuma kuna watoto, unafikiri anawajengea picha gani kichwani kuhusu kilimo? Na kuna kitoto kimebebeshwa sabuni kwa umaridadi kweli kweli. Mnafiki sana huyu mzee ndio maana mwili wake hauna shukrani, hang'ai wala hashine
   
 12. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #12
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  hiyo saa si apunguze mkanda basi na yeye ah!!
   
 13. r

  rubby Senior Member

  #13
  Apr 3, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  viongozi ewzi hadi mdomoni. wapi mtoto wa mkulima akienda shamba hutandikiwa mkeka?
   
 14. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #14
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  miafrika ndivyo tulivyo..by NN
   
 15. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #15
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Duh! Mzee kumbe ulikuwepo?! Vp unazikumbuka na zile suruali za savco na kadeti za maiko jakson na raba za edwin na dh (dada hujambo) na viatu vya chachacha???!!!
  Enzi hizo ukivaa mchelemchele basi wee ni matawi ya juu!! Si mchezo!!, tumetoka mbali mkuu!
   
 16. Wa Nyumbani

  Wa Nyumbani JF-Expert Member

  #16
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Usishangae, mambo ya siasa ndivyo yalivyo.....leo uko hivi....kesho hivi.....ukigeugeu
   
 17. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #17
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwenye suti ndio ingetakiwa awekewe mkeka na hiyo ya T shirt apige kavu kavu.
  Lakini yeye kafanya vise versa.
   
 18. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #18
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kwa kujibu swali lako, ni ALL OF THE ABOVE!
   
 19. Kwisimla

  Kwisimla Senior Member

  #19
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mi naona kama shughuli 2 tofauti hapa, ambazo hata maandalizi yake yalikuwa tofauti. hizo kanga na mikeka unayosema haikuandaliwa na mtu unayemtuhumu hapa ila watu wengine tofauti. so lawama ni kwa wandaaji ndugu, ambao mara kibao ni mimi na wewe "labda". Mi nadhani kulinganisha kungenda sawa kama shughuli zingekuwa za kufanana i.e. kilimo cha busta kwa kilimo cha bustani or kupanda mti kwa kupanda mti. Even though, wandaaji wazingatiwe.
   
 20. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #20
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Kwani enzi hizo hapakuwa na Mikeka wakamuwekea Mwalimu Nyerere?
  [​IMG]
   
Loading...