Huku ni kujidhalilisha

Aaaaah bora akae uchi huyu mana hata umbo lenyewe kuanzia hapo kwenye chupi mapajani mpaka kwenye magoji there is nothing at all.

Amekaa kama mapaja ya tundu lissu baada ya kupigwa risasi,kuna wanawake wakikaa kama huyo apo unahaha unaona hasa kwamba wanaokaa uchi wanatuumiza na wanatutamanisha.

Lakini huyo dhana ya kutamanisha imeondoka ns badala yake anajidhslilisha tu,uzuri usoni tu hamna kitu hapo.
Kua na nidhamu ya maneno na sio kuongea kama mpumbavu
 
Binafsi naona sawa tu..kuliko angetoa na hizo chupi kabisa..hiyo ndio athari ya utandawazi na kumbuka pia huyo anawazaz na wanaona hayo ila wameshakubaliana na hal halisi....asalam aleykum mleta mada

Hivi na Mjomba na baba mdogo nao ni wazazi?
 
Back
Top Bottom