Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,506
- 21,602
This is a serious matter jamani acheni kujadili kwa mzaha.
Ni kweli kuwa katika maeneo mengi ya mwambao wa pwani kuna hili tatizo. Mabinti kuolewa mapema na kuachwa wakiwa na watoto.
Tatizo kubwa hapa ni vijana wa kiume kutokuwa na malengo na msimamo. Pamoja na kwamba dini yao inaruhusu kutoa talaka, lakini sidhani kami talaka hizi zinatolewa katika misingi ya dini na haki.
Hivyo ni jukumu la masheikh na serikali kuelimisha jamii hizi
Mambo ya Ngoswe yananivutia bana........nataka niyajue..........
Sasa tuwashauri wafanyeje..........?.......
Sasa alieharibu maisha ya mwingine ni yupi hapo?
Unaufahamu ule wimbo wa Barnaba unaosema usikimbilie ndoa?
Unaufahamu ule wimbo wa Barnaba unaosema usikimbilie ndoa?
Mwanaume ndo anaharibu kwa sababu yy anauweza wa kutafuta mwingine ila kwa msichana inakuwa ngumu mbaya zaidi unakuta binti anaachiwa hadi watoto.
Umejuaje haya?
Niko karibu na jamii nayashuhudia kwa macho yangu.
Mkuu uko naweza pata shombe nyeupe kabisa nioe Niko serious