Huku ni kufilisika kisiasa

Huku ni kufilisika kisiasa

Inaonyesha hiki chama sasa kimefilisika kisiasa,jina naliweka kapuni maana wafuasi wake na wanachama wake wameshajua hilo na baadhi yao wanadai kimeshakufa. Na chama kinapofilisika kisiasa maana yake kina kwenda kufa na kujizika.

Chama cha kisiasa cha upinzani kinatakiwa kiwe na hoja makini ili na zenye mashiko pale kinapokuwa kinaikosoa Serikali.Kiweze kuikosoa kwa taarifa zilizojaa ukweli ili kiitie aibu serikali.

Dunia nzima kwa sasa ipo katika mtihani mgumu wa kupambana na janga la Covid-19. Lakini hiki chama na wafuasi wake,wanachama na viongozi wamekuwa hawana ushirikiano na serikali katika mapambano juu ya janga hili. Wafuasi na wanachama wanalitakia mabaya taifa lao eti kisa tu chama chao kinakufa na kimekimbiwa na wabunge na madiwani wengi.

kila mwananchi anahitaji kupata taarifa juu ya janga hili. Na serikali mara mwisho ilitoa taarifa na kwenye taarifa idadi ya vifo ilitangazwa kuwa ni 16.

Inashangaza kiongozi wa Chama hiki kilichofilisika kisiasa anadai kuwa takwimu hizi sio za kweli. Sasa kama kiongozi makini ambae ana uhakika na takwimu zilizo sahihi. Angekuja na takwimu ambazo ni sahihi alafu akawaumbua hawa serikali ambao anadai wanaficha takwimu sahihi.

Angekuja na ushahidi uliokamilika ili ukweli ujulikane. Sasa anachokifanya ni dhahiri kuwa labda yeye wafuasi wake na wanachama wake wanataka watu wafe kwa maelfu ili wafurahie.

Ukifilisika kisiasa isiwe sababu ya kuliombea mabaya taifa lako sio jambo jema kabisa.
Broke and greedy moves only lead to disasters!








kush and Wisdom
 
Nafuu Baba yako angevaa condom pengine ungeshakuwa flashed kwenye toilet kuliko hizi pumba unazoandika hapa.

Hivi tarehe 20/03/2020 alipoppatikana Mtanzania wa kwanza na COVID19 kama Magufuli isingekuwa MKAIDI anafunga mipaka na ku implement social distancing, leo hii tungekuwa tumedhibiti ugonjwa huu.

Angalia sasa amekaidi, watu wanakufa na maambukizi yanaendelea. Nchi jirani zikifunga mipaka yao sijui na hao watalii anaowategemea watatoka wapi
Sasa hii hapa ya mgonjwa wa kwanza wa Uganda source the East Africa newspaper
Following the first Covid-19 case recorded on March 21, the airport and all borders were on March 22 closed to passenger traffic except
 
Kwa sasa chama kinachoongozwa kufilisika Ni ccm, kinalindwa tu Na vyombo vya dola
 
Kwa sasa chama kinachoongozwa kufilisika Ni ccm, kinalindwa tu Na vyombo vya dola
Ndio mmebakiza kusingizia kila kitu. Mara dola mara JPM kajichimbia chato. Wewe jikite kwenye hoja kama takwimu zinapikwa kwa nini mwenyekiti wa Chadema asithibitishe kwa data zenye uhakika?
 
Back
Top Bottom