Huku ni kufilisika kisiasa

Huku ni kufilisika kisiasa

The government is poor and corrupt to the core. Hakuna Utawala na hakuna Utawala Bora baali ni Udikteta kwenda mbele. Tunajua watu wakileta confirmed death cases za Covid-19 WATAITWA WACHOCHEZI NA WATAISHIA SEGEREA...!!
Sio kweli.
 
Magufuli kama mwenyekiti anasambaza covid-19 kwa makusudi kupitia wabunge wake wa ccm ambao kimsingi wako exposed to covid-19 bungeni ambako wenzao watatu wameshakufa mpaka sasa.

Jogi,
Uko sahihi kwa 100 pc!
You know what? Hesabu za huyu MAGUFULI ni kujenga mazingira ya Hofu ya vifo vya Maksudi then apate scapegoat ya KUAHIRISHA UCHAGUZI MKUU ili aendelee kutawala mpaka 2025 bila ya Upinzani wowote!!
 
Kikanuni muda wake ukiisha kama kuna dharura yoyote ya kufanya tusichague rais wetu basi jaji mkuu atashika usukani kwa kipindi maalum cha muda mfupi naye atalazimika kuitisha uchaguzi.

Naona Mwehu kapewa wizara ya sheria na katiba, tutarajie muswada wa dharura😀😀

Hawajali hata kuambukizana covid-19, wamekomaa bungeni.
 
Omera, hivi Kuna Serikali iliyofilisika zaidi ya hii ya CCM YA MAGUFULI?
Magufuli amelifilisika kibusara,kiuongozi na Kiuchumi! Nitaeleza;
  1. Kama Amiri Jeshi Mkuu katoroka Ikulu za Dar na Dodoma kwenda kujificha Kijijini Chato...Hofu ya Corona!
  2. Kama Amiri Jeshi kashindwa kusikiliza Ushauri wa Wataalamu wa Afya na KUANZA kujifanya yet ndiyo Daktari wa KUJIFUKIZA.
  3. Badala ya kuhimiza Lockdown kaamua kuhamasisha Watu waingie Misikitini na Makanisani kuomba lakini badala ya Mungu kuondoa Covid-19 MAAMBUKIZI YAMEONGEZEKA!
  4. Mpaka sasa nchi yenye Watu 55 MILIONI inategemea kipimo 1 tu Cha Covid-19 nchi nzima!Kwa madai yake nchi hii Ni Tajiri Sana...!!Kwanini ameshindwa kununua vipimo angalao kwa kila hospital za Referral?
  5. Mpaka sasa Wabunge 3(1-Waziri) wamefia Viunga vya Bunge na mwingine kapata maambukizi akiwa mjengoni!

Mh unamaanisha maabara moja ya taifa au kipimo kimoja? Wabunge watatu wamefariki kwa Covid-19?. Je kwa maisha yetu haya duni Lockdown ingewezekana? Amiri jeshi mkuu hajatoroka na anafanya kazi kama kawaida .Jaduong ndio mnazidi kufilisika kisiasa? Odhiambo cairo
 
Wabunge wa ccm wansambaza corona kwa makusudi.

Hizi ni akili za matope kiukweri...!!!Jamaa Wanataka ku-justify KUFUTA UCHAGUZI Mkuu wa 2020 ili waingie miaka 5 mengine bila Uchaguzi....!!
Hakika wamechagua njia iliyo mbaya sana.....hii ni sawa na mauaji kama mauaji mengine tu....CCM ni hatari sana kwa ustawi wa nji hii!!!
 
Kikanuni muda wake ukiisha kama kuna dharura yoyote ya kufanya tusichague rais wetu basi jaji mkuu atashika usukani kwa kipindi maalum cha muda mfupi naye atalazimika kuitisha uchaguzi.

Naona Mwehu kapewa wizara ya sheria na katiba, tutarajie muswada wa dharura😀😀

Hawajali hata kuambukizana covid-19, wamekomaa bungeni.

Kikanuni au Kikatiba iko sawa!
Tatizo la huyu Jiwe wa Pombe anaweza kupeleka MUSWADA WA DHARURA BUNGENI KWENYE BUNGE HILI NA KUBADILISHA HIYO KANUNI....!!!Nadhani umewahi kusikia Chokochoko za Wabunge wa CCM KUTAKA MAGUFULI ATAWALE TANZANIA MPAKA ATAKAPO CHOKA MWENYEWE....!!!
 
Mh unamaanisha maabara moja ya taifa au kipimo kimoja? Wabunge watatu wamefariki kwa Covid-19?. Je kwa maisha yetu haya duni Lockdown ingewezekana? Amiri jeshi mkuu hajatoroka na anafanya kazi kama kawaida .Jaduong ndio mnazidi kufilisi kisiasa? Odhiambo cairo

Kipimo kimoja nchi nzima.....ndo maana upimaji unasuasua na taarifa kutolewa nje ya masaa 24 Kama ndugu zetu wa Zanzibari na Mataifa mengine.....!!
Unaweza kutuwekea hapa uthibitisho iwapo Hawa Wabunge 3 wa CCM hawakufa kwa Covid-19?

Magufuli kwa uhakika kabisa amekimbia Kirusi Cha Covid-19.......tusidanganyane!
 
Nafuu Baba yako angevaa condom pengine ungeshakuwa flashed kwenye toilet kuliko hizi pumba unazoandika hapa.

Hivi tarehe 20/03/2020 alipoppatikana Mtanzania wa kwanza na COVID19 kama Magufuli isingekuwa MKAIDI anafunga mipaka na ku implement social distancing, leo hii tungekuwa tumedhibiti ugonjwa huu.

Angalia sasa amekaidi, watu wanakufa na maambukizi yanaendelea. Nchi jirani zikifunga mipaka yao sijui na hao watalii anaowategemea watatoka wapi
Je Kenya na Uganda walipatikana vipi?? Maana wao walifunga mipaka kabla yetu
 
Inaonyesha hiki chama sasa kimefilisika kisiasa,jina naliweka kapuni maana wafuasi wake na wanachama wake wameshajua hilo na baadhi yao wanadai kimeshakufa. Na chama kinapofilisika kisiasa maana yake kina kwenda kufa na kujizika.

Chama cha kisiasa cha upinzani kinatakiwa kiwe na hoja makini ili na zenye mashiko pale kinapokuwa kinaikosoa Serikali.Kiweze kuikosoa kwa taarifa zilizojaa ukweli ili kiitie aibu serikali.

Dunia nzima kwa sasa ipo katika mtihani mgumu wa kupambana na janga la Covid-19. Lakini hiki chama na wafuasi wake,wanachama na viongozi wamekuwa hawana ushirikiano na serikali katika mapambano juu ya janga hili. Wafuasi na wanachama wanalitakia mabaya taifa lao eti kisa tu chama chao kinakufa na kimekimbiwa na wabunge na madiwani wengi.

kila mwananchi anahitaji kupata taarifa juu ya janga hili. Na serikali mara mwisho ilitoa taarifa na kwenye taarifa idadi ya vifo ilitangazwa kuwa ni 16.

Inashangaza kiongozi wa Chama hiki kilichofilisika kisiasa anadai kuwa takwimu hizi sio za kweli. Sasa kama kiongozi makini ambae ana uhakika na takwimu zilizo sahihi. Angekuja na takwimu ambazo ni sahihi alafu akawaumbua hawa serikali ambao anadai wanaficha takwimu sahihi.

Angekuja na ushahidi uliokamilika ili ukweli ujulikane. Sasa anachokifanya ni dhahiri kuwa labda yeye wafuasi wake na wanachama wake wanataka watu wafe kwa maelfu ili wafurahie.

Ukifilisika kisiasa isiwe sababu ya kuliombea mabaya taifa lako sio jambo jema kabisa.
Nyie akina chattle acheni ushamba.
 
Hivi ni kweli huwa mnalipwa Shilingi elfu 7?
Hiyo kitu mimi hata sijui. Natekeleza haki yangu ya kikatiba ya kutoa maoni yangu kama ibara ya 18 ya JMT inavyosema.
Na msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Maana Mbowe alipaswa athibitishe hizo data za kweli zinavyofichwa. Na atoa zile za ukweli.
 
Sawa mkuu, ila hakikisha unaupa ubongo wako haki yake ya kuchakata mambo alafu mikono inamalizia kutype.
 
Sawa mkuu, ila hakikisha unaupa ubongo wako haki yake ya kuchakata mambo alafu mikono inamalizia kutype.
Nafikiri wewe ndio ukaupe ubongo wako hiyo haki alafu ndio uwe unadandia mada. Maana sio kila mada lazima ujibu
 
Nafikiri wewe ndio ukaupe ubongo wako hiyo haki alafu ndio uwe unadandia mada. Maana sio kila mada lazima ujibu
Mbona wewe ndo unapata taabu sana na kwa sababu unapingana na ukweli. Anyway nisikukwaze mkuu sitoingilia tena mada yako.
 
Back
Top Bottom