Huku ni kufilisika kisiasa

Huku ni kufilisika kisiasa

Wewe kweli chizi...!!
Unaufahamu msemo wa: siyo KILA HOMA NI MALARIA...!Unaelewa maana ya kauli hii ewe zuzu?
Ngoja siku moja Malaria ikutandike upate homa then uende kws Daktari akupe dawa za kuondoa/kutuliza homa tu bila ya dawa za Malaria kama hujaitwa MAREHEMU sasa hivi..!!
Matusi na kuliombea mabaya taifa ndio mlichobakiza.
 
Kufilisika kisiasa ni pale kiongozi mkuu wa nchi anapokubali kirusi cha Corona kumpeleka uhamishoni(Exile)!
 
Whats rambrambi?c makaratac tu ambayo anaandikiwa hv ufwe na watu wako wa karbu uishie kila cku kutoa rambrambi nn kinachomuogopesha kutoka huko mafichon?
Angekuwa agekuwa amejificha usingesikia hizo rambi rambi anazotuma. Na jambo la msingi kumbuka principal assistant ni Vp na anamuwakilisha katika misiba yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndicho mlicho bakiza matusi tu. Lakini hoja hamna. Kama watu wanakufa na covid zaidi ya hao 16 leteni ushahidi sio kupotosha umma kwa manufaa ya Chadema
Tumekwisha weka ushahidi wa kutosha ila kama huamini baki hivyo hivyo mpaka ufe wewe mwenyewe kwa COVID19.

inabidi ufe mwenyewe maana hata akifa ndugu yako wewe utapinga tu kwa sababu ya Buk 7
 
Mbona unaongea kavile unatoka sayari ingine? HAKUNA TIBA WALA CHANJO YA COVID-19, kinachofanyika Madaktari WANATIBU DALILI ZAKE: KUKOHOA, MAFUA NA TATIZO LA KUPUMUA(Using VENTILATORS) lakini wakti huohuo KINGA YA MWILI YA MTU INAKUWA INAPAMBANA NA VIRUSI VA COVID-19.....If you're lucky enough you gonna survive and if you're not....kitakachofuata ni R.I.P.[emoji23][emoji23]
True mkuu

Odhis *
 
Angekuwa agekuwa amejificha usingesikia hizo rambi rambi anazotuma. Na jambo la msingi kumbuka principal assistant ni Vp na anamuwakilisha katika misiba yote.
Rambi rambi zinatumwa na Msigwa,huna macho ya kuona hata sahihi?
 
Inaonyesha hiki chama sasa kimefilisika kisiasa,jina naliweka kapuni maana wafuasi wake na wanachama wake wameshajua hilo na baadhi yao wanadai kimeshakufa. Na chama kinapofilisika kisiasa maana yake kina kwenda kufa na kujizika.

Chama cha kisiasa cha upinzani kinatakiwa kiwe na hoja makini ili na zenye mashiko pale kinapokuwa kinaikosoa Serikali.Kiweze kuikosoa kwa taarifa zilizojaa ukweli ili kiitie aibu serikali.

Dunia nzima kwa sasa ipo katika mtihani mgumu wa kupambana na janga la Covid-19. Lakini hiki chama na wafuasi wake,wanachama na viongozi wamekuwa hawana ushirikiano na serikali katika mapambano juu ya janga hili. Wafuasi na wanachama wanalitakia mabaya taifa lao eti kisa tu chama chao kinakufa na kimekimbiwa na wabunge na madiwani wengi.

kila mwananchi anahitaji kupata taarifa juu ya janga hili. Na serikali mara mwisho ilitoa taarifa na kwenye taarifa idadi ya vifo ilitangazwa kuwa ni 16.

Inashangaza kiongozi wa Chama hiki kilichofilisika kisiasa anadai kuwa takwimu hizi sio za kweli. Sasa kama kiongozi makini ambae ana uhakika na takwimu zilizo sahihi. Angekuja na takwimu ambazo ni sahihi alafu akawaumbua hawa serikali ambao anadai wanaficha takwimu sahihi.

Angekuja na ushahidi uliokamilika ili ukweli ujulikane. Sasa anachokifanya ni dhahiri kuwa labda yeye wafuasi wake na wanachama wake wanataka watu wafe kwa maelfu ili wafurahie.

Ukifilisika kisiasa isiwe sababu ya kuliombea mabaya taifa lako sio jambo jema kabisa.
Selikali dhaifu sana hii, imeshindwa kuwajali eananchi
 
Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787].
Ya kujifukiza !!. Mi nilidhani u hambo hambo, dahh kumbe ?!![emoji56][emoji40]

Odhis *
Jaduong sio kujifukiza usichanganye mambo. Kuna wagonjwa wamelazwa hospitalini na serikali inawapatia tiba. Kuna elimu namna ya kujikinga inazidi kutolewa.
Jaduong au ndio mnazidi kufilisika zaidi?
 
Corona sio suala la serikali. Serikali zinatoa miongozo tu. Hakuna serikali inayotoa matibabu ya corona.
unaposema kuwa hakuna serikali inayotoa matibabu ya CORONA unamaanisha nini? Halafu aliyeleta suala la serikali kupambana na Corona ni mleta mada na siyo huyo uliyemnukuu!!
 
Ndicho mlicho bakiza matusi tu. Lakini hoja hamna. Kama watu wanakufa na covid zaidi ya hao 16 leteni ushahidi sio kupotosha umma kwa manufaa ya Chadema
The government is poor and corrupt to the core. Hakuna Utawala na hakuna Utawala Bora baali ni Udikteta kwenda mbele. Tunajua watu wakileta confirmed death cases za Covid-19 WATAITWA WACHOCHEZI NA WATAISHIA SEGEREA...!!
 
Jaduong sio kujifukiza usichanganye mambo. Kuna wagonjwa wamelazwa hospitalini na serikali inawapatia tiba. Kuna elimu namna ya kujikinga inazidi kutolewa.
Jaduong au ndio mnazidi kufilisika zaidi?

Omera, hivi Kuna Serikali iliyofilisika zaidi ya hii ya CCM YA MAGUFULI?
Magufuli amelifilisika kibusara,kiuongozi na Kiuchumi! Nitaeleza;
  1. Kama Amiri Jeshi Mkuu katoroka Ikulu za Dar na Dodoma kwenda kujificha Kijijini Chato...Hofu ya Corona!
  2. Kama Amiri Jeshi kashindwa kusikiliza Ushauri wa Wataalamu wa Afya na KUANZA kujifanya yet ndiyo Daktari wa KUJIFUKIZA.
  3. Badala ya kuhimiza Lockdown kaamua kuhamasisha Watu waingie Misikitini na Makanisani kuomba lakini badala ya Mungu kuondoa Covid-19 MAAMBUKIZI YAMEONGEZEKA!
  4. Mpaka sasa nchi yenye Watu 55 MILIONI inategemea kipimo 1 tu Cha Covid-19 nchi nzima!Kwa madai yake nchi hii Ni Tajiri Sana...!!Kwanini ameshindwa kununua vipimo angalao kwa kila hospital za Referral?
  5. Mpaka sasa Wabunge 3(1-Waziri) wamefia Viunga vya Bunge na mwingine kapata maambukizi akiwa mjengoni!
 
Omera, hivi Kuna Serikali iliyofilisika zaidi ya hii ya CCM YA MAGUFULI?
Magufuli amelifilisika kibusara,kiuongozi na Kiuchumi! Nitaeleza;
  1. Kama Amiri Jeshi Mkuu katoroka Ikulu za Dar na Dodoma kwenda kujificha Kijijini Chato...Hofu ya Corona!
  2. Kama Amiri Jeshi kashindwa kusikiliza Ushauri wa Wataalamu wa Afya na KUANZA kujifanya yet ndiyo Daktari wa KUJIFUKIZA.
  3. Badala ya kuhimiza Lockdown kaamua kuhamasisha Watu waingie Misikitini na Makanisani kuomba lakini badala ya Mungu kuondoa Covid-19 MAAMBUKIZI YAMEONGEZEKA!
  4. Mpaka sasa nchi yenye Watu 55 MILIONI inategemea kipimo 1 tu Cha Covid-19 nchi nzima!
  5. Mpaka sasa Wabunge 3(1-Waziri) wamefia Viunga vya Bunge na mwingine kapata maambukizi akiwa mjengoni!
Magufuli kama mwenyekiti anasambaza covid-19 kwa makusudi kupitia wabunge wake wa ccm ambao kimsingi wako exposed to covid-19 bungeni ambako wenzao watatu wameshakufa mpaka sasa.
 
Back
Top Bottom