Huku ni kufilisika kisiasa

Huku ni kufilisika kisiasa

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
8,744
Reaction score
5,771
Inaonyesha hiki chama sasa kimefilisika kisiasa,jina naliweka kapuni maana wafuasi wake na wanachama wake wameshajua hilo na baadhi yao wanadai kimeshakufa. Na chama kinapofilisika kisiasa maana yake kina kwenda kufa na kujizika.

Chama cha kisiasa cha upinzani kinatakiwa kiwe na hoja makini na zenye mashiko pale kinapokuwa kinaikosoa Serikali.Kiweze kuikosoa kwa taarifa zilizojaa ukweli ili kiitie aibu serikali.

Dunia nzima kwa sasa ipo katika mtihani mgumu wa kupambana na janga la Covid-19. Lakini hiki chama na wafuasi wake,wanachama na viongozi wamekuwa hawana ushirikiano na serikali katika mapambano juu ya janga hili. Wafuasi na wanachama wanalitakia mabaya taifa lao eti kisa tu chama chao kinakufa na kimekimbiwa na wabunge na madiwani wengi.

kila mwananchi anahitaji kupata taarifa juu ya janga hili. Na serikali mara mwisho ilitoa taarifa na kwenye taarifa idadi ya vifo ilitangazwa kuwa ni 16.

Inashangaza kiongozi wa Chama hiki kilichofilisika kisiasa anadai kuwa takwimu hizi sio za kweli. Sasa kama kiongozi makini ambae ana uhakika na takwimu zilizo sahihi. Angekuja na takwimu ambazo ni sahihi alafu akawaumbua hawa serikali ambao anadai wanaficha takwimu sahihi.

Angekuja na ushahidi uliokamilika ili ukweli ujulikane. Sasa anachokifanya ni dhahiri kuwa labda yeye wafuasi wake na wanachama wake wanataka watu wafe kwa maelfu ili wafurahie.

Ukifilisika kisiasa isiwe sababu ya kuliombea mabaya taifa lako sio jambo jema kabisa.
 
Inaonyesha hiki chama sasa kimefilisika kisiasa,jina naliweka kapuni maana wafuasi wake na wanachama wake wameshajua hilo na baadhi yao wanadai kimeshakufa. Na chama kinapofilisika kisiasa maana yake kina kwenda kufa na kujizika.

Chama cha kisiasa cha upinzani kinatakiwa kiwe na hoja makini ili na zenye mashiko pale kinapokuwa kinaikosoa Serikali.Kiweze kuikosoa kwa taarifa zilizojaa ukweli ili kiitie aibu serikali.

Dunia nzima kwa sasa ipo katika mtihani mgumu wa kupambana na janga la Covid-19. Lakini hiki chama na wafuasi wake,wanachama na viongozi wamekuwa hawana ushirikiano na serikali katika mapambano juu ya janga hili. Wafuasi na wanachama wanalitakia mabaya taifa lao eti kisa tu chama chao kinakufa na kimekimbiwa na wabunge na madiwani wengi.

kila mwananchi anahitaji kupata taarifa juu ya janga hili. Na serikali mara mwisho ilitoa taarifa na kwenye taarifa idadi ya vifo ilitangazwa kuwa ni 16.

Inashangaza kiongozi wa Chama hiki kilichofilisika kisiasa anadai kuwa takwimu hizi sio za kweli. Sasa kama kiongozi makini ambae ana uhakika na takwimu zilizo sahihi. Angekuja na takwimu ambazo ni sahihi alafu akawaumbua hawa serikali ambao anadai wanaficha takwimu sahihi.

Angekuja na ushahidi uliokamilika ili ukweli ujulikane. Sasa anachokifanya ni dhahiri kuwa labda yeye wafuasi wake na wanachama wake wanataka watu wafe kwa maelfu ili wafurahie.

Ukifilisika kisiasa isiwe sababu ya kuliombea mabaya taifa lako sio jambo jema kabisa.
Mimi ningekuwa Polepole kwa uzi wa kijinga kama huu nisingekupa posho na ningekunyang'anya smartphone ya chama
 
Mtu aliyefilisika kisiasa Tanzania ni magufuli aliyetoroka ikulu kabla ya kuwajadili wabunge wa upinzani tungeanza Kwanza na Babu yenu anayejifukisha mwarobaini kule chattle
Mfiwa mkuu yeye mwenyewe kajificha kashapata misiba ya nguvu zaidi ya 5 lakini haonekani sasa mtu kama huyo kuna haja gani ya kushirikiana nae
 
Angekuwa agekuwa amejificha usingesikia hizo rambi rambi anazotuma. Na jambo la msingi kumbuka principal assistant ni Vp na anamuwakilisha katika misiba yote.
 
Hata matibabu pia yanatolewa ndio maana baadhi ya wagonjwa wamepona.
Mbona unaongea kavile unatoka sayari ingine? HAKUNA TIBA WALA CHANJO YA COVID-19, kinachofanyika Madaktari WANATIBU DALILI ZAKE: KUKOHOA, MAFUA NA TATIZO LA KUPUMUA(Using VENTILATORS) lakini wakti huohuo KINGA YA MWILI YA MTU INAKUWA INAPAMBANA NA VIRUSI VA COVID-19.....If you're lucky enough you gonna survive and if you're not....kitakachofuata ni R.I.P.😂😂
 
Nashukuru umejijibu vizuri sana.Wanatibu dalili zake pigia mstari kabisa. Maana si ndio kupatiwa tiba.

Nashukuru sababu umejijibu vizuri sana. Wanatibu dalii zake pigia mstari maana ndio tiba yenyewe.
 
Wewe kweli chizi...!!
Unaufahamu msemo wa: siyo KILA HOMA NI MALARIA...!Unaelewa maana ya kauli hii ewe zuzu?
Ngoja siku moja Malaria ikutandike upate homa then uende kws Daktari akupe dawa za kuondoa/kutuliza homa tu bila ya dawa za Malaria kama hujaitwa MAREHEMU sasa hivi..!!
 
Back
Top Bottom