A annanathaniel Senior Member Joined Aug 26, 2014 Posts 173 Reaction score 33 Dec 27, 2014 #2 Duh kwl huku ndiyo kula bataaaaa!!!!
makedonia JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 4,371 Reaction score 3,670 Dec 27, 2014 #3 msaada wakuu...wanakula kitu gani hapo
milioni milioni JF-Expert Member Joined Mar 25, 2013 Posts 1,845 Reaction score 1,066 Dec 27, 2014 #4 Kumbe viroba navyopiga c kula bata naacha nazeeka tu alafu umri hausogei
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,364 Reaction score 13,468 Dec 27, 2014 #5 makedonia said: msaada wakuu...wanakula kitu gani hapo Click to expand... si umeshaambiwa bata.
makedonia JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 4,371 Reaction score 3,670 Dec 27, 2014 #6 kichomiz said: si umeshaambiwa bata. Click to expand... kumbe bata analiwa kwa taaabu hivyo??.....mpaka tufunge mikanda huko juu.endeleeni waungwana
kichomiz said: si umeshaambiwa bata. Click to expand... kumbe bata analiwa kwa taaabu hivyo??.....mpaka tufunge mikanda huko juu.endeleeni waungwana
Kv-london JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 2,892 Reaction score 5,084 Dec 27, 2014 #7 Alaf ndio useme et bongo ukiwa na hela kama ulaya! kiwanja gan cha kula bata bongo au east africa pako kama hapo?
Alaf ndio useme et bongo ukiwa na hela kama ulaya! kiwanja gan cha kula bata bongo au east africa pako kama hapo?
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 17,581 Reaction score 20,218 Dec 27, 2014 #8 makedonia said: kumbe bata analiwa kwa taaabu hivyo??.....mpaka tufunge mikanda huko juu.endeleeni waungwana Click to expand... hhaahaa naomba ulale
makedonia said: kumbe bata analiwa kwa taaabu hivyo??.....mpaka tufunge mikanda huko juu.endeleeni waungwana Click to expand... hhaahaa naomba ulale
K Kalesya JF-Expert Member Joined Dec 21, 2014 Posts 691 Reaction score 728 Dec 27, 2014 #9 Umeshafikilia hiyo sehemu ikiporomoka kwa tatizo la kiufundi!! Hata kwenye titanic watu walikula bata, lakini mwishoni na wao wakaliwa na samaki..
Umeshafikilia hiyo sehemu ikiporomoka kwa tatizo la kiufundi!! Hata kwenye titanic watu walikula bata, lakini mwishoni na wao wakaliwa na samaki..
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Dec 27, 2014 #10 haya kila la heri