Huku mishahara imetoka nyongeza ni tsh 44,511/= huko kwenu vipi?

ndio kumbe nini
si bora mie
hao wanogawa uchi ili waishi wanatafta utajiri.?!!
wenzio km wewe walinicheka hvyo hvyo asa hv wanakopa dukani kwangu.!
maisha yanaenda

Kama sio mawazo ya kimasikini, je, unawashauri wasichana wote waolewe mapema kama wewe kwa sababu ya mishahara midogo?
 
sasa hii ndiyo nini mbona mshahara haujaingizwa kwenye akaunti yangu au wameanza kutulipa kwa mafungu.
 
Upumbavu kuanzisha thread ka hizi, sasa mshahara ili? Na maongezo ya mshahara si kwa flat rate . Poor ppl, poor mind
 
Upumbavu kuanzisha thread ka hizi, sasa mshahara ili? Na maongezo ya mshahara si kwa flat rate . Poor ppl, poor mind
mkuu huna ajira nini!! Tafuta taratibu na uwe na heshima kwa watu utapata tu, kutukana watu humu siyo suluhisho.
 
Upumbavu kuanzisha thread ka hizi, sasa mshahara ili? Na maongezo ya mshahara si kwa flat rate . Poor ppl, poor mind

Indicator of stress caused by unemployment/loans too much economic problems. May be am stressed too.... Teh teh teh teh teh....
 
Hivi hii nchi viongozi wamelogwa na nani? kila siku vituko haviishi sasa hivi imefikia watumishi wanalipwa mishahara kwa awamu, sasa ndo tuseme hao waliotangulia kupewa wametumia vigezo vipi kuwapa kwanza? Mi kwa mtazamo wangu naona huu ni ubaguzi kabisa na kuwekeana matabaka.
 
Hii mishahara itakuwa ya akina Mbayuwayu, maana hawa jamaa maisha yao yote ni kelele za mishahara na madaraja. Mishahara haijatoka wao wako benki wki nzima wanalala na kushinda humohumo vumbi mpaka ugokoni. Kama ikityokea serikali ikagoma kutoa mshahara walau mwezi mmoja tutawapoteza akina Mbayuwayu wengi maana hawanaga altenativ B ya kujikimu kimaisha.
Hahahahaha
 
Ndugu, hata huku wilaya ya rungwe kuna baadhi hatujawekewa mshahala tunausikia tu kwa baadh ya watu.hii ndo serikal yetu
Nyamagana -Mwanza mishahara imetoka kwa mafungu, wengine wamepata nawengine hawajapata. ngoja niangalie kama wametoa alphabetically.......hakuna kioja ambacho hatutakiona kwenye awamu hii ya Mh. Khalifan!
 
Kama sio mawazo ya kimasikini, je, unawashauri wasichana wote waolewe mapema kama wewe kwa sababu ya mishahara midogo?

kila mtu na scale of preference yake
siwezi kumshaur mtu aolewe km hataki je?
by the way ndoa sio kwenda kuangalia mkato wa chumba peke yake
na kwa situation yangu that time i had no choice than that.
Na umri wangu uliniruhusu nshasoma nshapata kazi what next?!!
Kuzini au kufunga ndoa halali anayoitaka Mungu remember am african girli na siwezi kwenda kinyume na maadili ya jamii ndo the best
Nlifungua mradi ukawa unsua sua sikua na skilzz za bizness but baada ya kumpata anaejua biashara thnx to lord mambo yanaenda
I dont give a damn about anything!
Starehe zina mwisho wake!
 
Wameongeza 54000 degree

Wadau hii siyo sahihi! Nyongeza siyo constant! Kwa mfano waajiriwa wapya watatu: Mwalimu, Mchumi na Mhandisi. Hawa kwa serikali kuu Mwalimu anaweza kuanza na D, Mchumi D na Mhandisi E( wote ni degree moja ajira moja) . Sasa hapo mshahara kika mmoja utakuwa tofauti siku ya kwanza kuajiriwa lakini pia utakuwa tofauti kwenye nyongeza baada ya kupanda. Hivyo ukisema umepanda fafanua ni daraja gani, je ni shirika la umma, serikali za mitaa au Executive Agency? Uki generalize ujue unapotosha
 
Wadau tusipoteze muda ajira inayoweza kujibu ndoto za maisha yako, serikalini ndo kabisaaaa! Sugueni vichwa muangalie plan B. Nilikuwa nalalamika sana those days.nikaja gundua napoteza time.Leo hii serikali inanisaidie kupata Mikopo tuuuuuu! Then nasonga na dili zangu.nilianza na laki 2 now Nina uhakika was Ku make vimilioni kadhaa kwa mwezi.maisha ni mipango.
 
Upumbavu kuanzisha thread ka hizi, sasa mshahara ili? Na maongezo ya mshahara si kwa flat rate . Poor ppl, poor mind

sis watalamu wa magonjwa ya akili tunajua dalili za awali kumtambua mgonjwa wa akili ni kama kuwa na hasila , lugha chafu(abuse language),kubadilika kwa mood,irritability,kuwa na fikra ndogo. kipimo na utambuzi wa magonjwa ya akili ni dalili anazoonesha mgonjwa. mkuu nakushari kutokana na dalili ulizonazo unaugonjwa wa akili unaoitwa substance induced abuse psychoasis . sasa nakuomba uwahi hospitali ukatibiwe lasivyo ugonjwa utakuwa chronic utakufanya uanze kula nyama za watu,ubakaji,kua,kupiga watu ovyo ovyo na kuokota makopo
 
wadau hii siyo sahihi! Nyongeza siyo constant! Kwa mfano waajiriwa wapya watatu: Mwalimu, mchumi na mhandisi. Hawa kwa serikali kuu mwalimu anaweza kuanza na d, mchumi d na mhandisi e( wote ni degree moja ajira moja) . Sasa hapo mshahara kika mmoja utakuwa tofauti siku ya kwanza kuajiriwa lakini pia utakuwa tofauti kwenye nyongeza baada ya kupanda. Hivyo ukisema umepanda fafanua ni daraja gani, je ni shirika la umma, serikali za mitaa au executive agency? Uki generalize ujue unapotosha

tghs c
 
Kama ni kweli vijana hatuna budi kujiajiri ama kuwa na plan C kabsa, yani mbwembwe zote kumbe icho ndo walichoongeza!
Kweli kabisa, mm nilidhani wataongeza kama lak 3 ivi nikavute mkoko wa mkopo hapo benki nikaoshe jina, daah, yaani na miaka inavyokimbia? Ninazeeka sijamiliki usafiri? Siku izi tunaita usafiri, sio gari, usafiri.
 
Mkuu niko private pia, jioni hii nimecheki kwa CRDB simbanking nikakuta kuna increment ya kama laki 3 na ushee hivi hebu funguka imekuwaje maana sijaielewa.

Unapiga mzigo fresh mkuu yaani hapo wakurugenzi wameamua wakupe motisha uendelee kuwa nao...bado serikali ikitoa mwongozo watatii pia ...piga kazi.....Serikalini acha wahenyeke kwanza hawana kazi mhuri na sahihi njoo kesho haziishi ....
 
KUSELA la ukweli walimu wana kazi kubwa kwenye TAIFA LA WANYONYAJI!!
 
Back
Top Bottom