Huku mishahara imetoka nyongeza ni tsh 44,511/= huko kwenu vipi?

kwangu imesoma hivyo vipi huko kwenu,,? hii ni kwa mtu mwenye degree nazani cheti na diploma watakuwa wamepata nyingi kidogo.:bange:
Ndugu hebu eleza vizuri hiyo mishahara imetoka lini na wewe unafanya kazi halmashauri gani!!!! :angry:
 
Hahahaaaa...
Suruhu ya nchi hii sio kuongezeka kwa mishahara! Itaongezeka na hali ya maisha kubaki palepale kama si kuwa ngumu zaidi! Mishahara imekuwa ikiongezeka miaka na miaka na mfumuko wa bei hivyohivyo. Mimi nahisi kwa Tanzania hawa jamaa (mishahara kuongezeka na mfumuko wa bei) ni ndugu. Kabla ya kuongeza mishahara kuna haja ya kuvunja undugu huu...
 
yani mbwembwe zote zile nimekuta 25000 ongezeko?grade 3a cna ham nataman leo serikali hii ifike mwisho kbsaaa.
 
kwangu imesoma hivyo vipi huko kwenu,,? hii ni kwa mtu mwenye degree nazani cheti na diploma watakuwa wamepata nyingi kidogo.:bange:

Mshahara haujapanda hata kwa sh, 1 Ongezeko hilo linatokana na kupungua kwa makato ya kodi ya mapato ambayo imepungua kutoka 13% kushuka na kuwa 12% HII NDIO SERIKALI SIKIVU INAYO WAJALI WANANCHI. KIDUMU Chukua Chako Mapema
 
Embu mleta mada funguka upo kada gani na daraja ipi ndo tuanze kuchangia.mana kwa wale wa daraja c ni 26elfongezk walmu
 
Back
Top Bottom