donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
.
Hii itakuwa Rombo au Mwika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkoa gani aisee
No wonder..... Kama mjini hapa tunapata kwa 7,000-7,500/= per kg ..... Ni sawa kwa huko mkoani kuuzwa 5,000/=.
Central zone mkuuMkoa gani aisee
Dodoma au?Central zone mkuu
Nyasa mbambabay kilo 3000 na nyongeza juu
Hii itakuwa Bonite huko😅😅😅
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii itakuwa Bonite huko[emoji28][emoji28][emoji28]
Duuuh msala mkuuNyasa mbambabay kilo 3000 na nyongeza juu
Yes mkuuDodoma au?
Dodoma mkuuUko maeneo gani Mkuu???
Duh nlikuja huko kwaka 2018 nikalala kwa Masister ile hotel inayochungulia Ziwa Nyasa for 2 weeks nlikuja kikazi lakini ila sikuwahi kujua kama ndudu anauzwa pesa hioDuuuh msala mkuu
Dom sehem gani maana nipo hapa hadi j2 nialike nije kukuungishaYes mkuu