The Shah of Tanganyika
JF-Expert Member
- Jul 2, 2023
- 602
- 1,571
Badala ya kujibu hoja zilizoletwa na wanasheria pamoja na Mh. Balozi Dr. Wilbrod Slaa, Serikali imeamua kumtumia Jerry Silaa kuvuruga malengo ya hoja husika.
Jerry Silaa ametumika tu ili pengine watu wakisikia jina Slaa wafikiri ni yule yule Balozi Dr. Slaa.
Headline za magazeti pamoja na zile akaunti za kwenye mitandao zenye mlengo wa kiushabiki wa CCM zitaandika utumbo wa Jerry Silaa na kumhamishia Mh. Balozi Dr. W. Slaa.
Niseme wazi tu kuwa huku ni kuendelea kuwachezea watanzania na kuwahadaa kwa kutumia vioja na njama za kipuuzi kabisa.
CCM imechoka kuongoza. Ipumzishwe kwa maslahi mapana ya Taifa letu.