Huko tuendako mh.sana atapunguza kuonekana hadharani

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,705
149,939
Hata kale kautaratibu kake ka hata tukio dogo tu kurushwa live tunaweza tusikaone tena.

Hata zile hotuba zake za kujifanya yuko serious na mkali muda wote zinaweza kuanza kupungua maana huwezi tena kukemea na kusulubu wengine wakati kuna ambao unawalinda.

Kweli muda ndio kiboko yao na mbio za sakafuni huishia ukingoni.
 
We Salary Slip acha hizo! mwenzio yuko kimya anatafakari ushauri uliotolewa na Mzee mwanakijiji kuwa kama mambo ni magumu hayawezi na yamejaa lawama si bora kurudi kulima kule kwenye mji barabara ya kwenda Bukoba? au kuamua kuwa CEO wa Kebby?
 
Hata mimi naziona dalili za mh.sana kupunguza vijembe na kejeli. Confidence yake wateule wake ime-wane sana. Nina imani anasoma na kusikia mengi kumhusu "mungu" wa dar na kwa hekima yake hafurahishwi. Anaona jinsi TAL anavyoujongelea upresidaa wa TLS huku akijua kuwa hana namna ya kumzuia. Anaona jinsi DPP anavyoanza kulaumiwa juu udhalimu wake katika kesi ya Lema. Anaona jinsi amvavyo vita dhidi ya madawa ya kulevya ilivyoshindwa kabla ya kuanza kwa ajili ya uzembe wa mteule mkurupukaji na hana jinsi maana ni kipenzi. Anaona jinsi ambavyo ndoto ya Tanzania ya viwada inaendelea kuwa ndoto na hafurahishi sana na hilo. Anaona jinsi ambavyo uchumi unadorora, njaa inajongelea na hana ujasiri wa kukiri ukweli na inamuumiza sana.

Labda wakati ndo umeanza kusema kama wengi wetu tulivyotabiri.
 
Umeongea vizuri sana.Soon ataanza kuona aibu kusimama mbele za watu na si ajabu mambo mengi ya kusimama au kuongea hadharani akayakaimisha kwa wasaidizi wake.
 
Hii ni MUBASHARA sana mkuu
 
Umeongea vizuri sana.Soon ataanza kuona aibu kusimama mbele za watu na si ajabu mambo mengi ya kusimama au kuongea hadharani akayakaimisha kwa wasaidizi wake.

Mkuu hata JK alianza hivihivi, alianza kupoteza muelekeo pale aliposema eti wezi wa EPA warudishe hela kisha atawasamehe. Hapo alipoanza kujigeuza ndio hakimu wa mali ya umma ndio mambo yalipoanza. Huyu wa sasa alianza na mikwara kibao mara kutumbua na wengine aliwatumbua hadi mauti kuwakuta na aliyemchongea huyo marehemu sasa hivi ndio anapambana na wauza unga kwa style ya kama kutangaza miss Dar wajitokeze kwenye shindano. Kama hilo halitoshi naye ana tuhuma ya kugushi cheti tena ni zoezi la kitaifa lililofukuza watu kwenye ajira, saa hii kuna jingine kubwa, nyuma ya hao wanaolalamikiwa kuwa wanajihusisha na unga ndio hao wamempa kiwanja kwa utapeli na waziri mwenye dhamana katangaza. Hao wafadhili wa hiyo ardhi wana tuhuma kibao na utetezi wake ni eti watu wana chuki naye kisa madawa. Kuna siku niliwahi kusema hapa huyo kijana anamuingiza mkuu mjini bila mkuu kujijua. Kwa kuanzia hili la ardhi linaanza kufunua yale mkuu anayoyafumbia macho kwa kumuona huyo kijana yuko sawa bali mahasimu wake tu ndo wanaomuharibia.
 
Mvumilieni bana,si mnajua ugeni wa hiyo nyadhifa,atajisotiout with time bana...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom