Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,773
- 2,383
Masana
Nice try lakini jaribu tena!Hapo si kwenye ule mto unaogawa Kawe and Mbezi beach, njia ya chini? Nakumbuka enzi hizo hii njia ilikuwa haina foleni kabisa kwa sababu ya madimbwi and maandaki yake lakini siku hizi ni lami tupu. Enzi hizo wakati wa mvua kulikuwa hakuna uhakika wa kufika unakokwenda. Kweli Dar es Salaam imeendelea, Mbezi beach siku hizi kama Sinza.
Dimbwini hapo
samaki wabichi