Mwanamke katazama mbele, lazima Mali wagawane, mwanamke anatumia akili kupata hiyo Mali, imeisha hiyiooo.Mimi naona kama ameuza akaenda kununua kwingine ni sawa tu.
Tena huyo mwanamke kamshauri vizuri kujenga ingekuwa mwingine angekuwa anakesha Bar na vimada mpaka pesa iishe.
Lengo;-Unajua maana ya yule mwanamke kutaka kwenda site mda wote,
Au maana ya yeye kuja kushindwa Dukani mda wote.
Kubeba mimba Faster...
Analengo,alilonalo Kichwani kwake....
Hata hivyo 100M sio pesa nyingi sana kama anavyodhani.Umenielewa nilichomaanisha, Huyu mshikaji ataumia sana, Baadae Mali yake watagawana pasu kwa pasu, mwanamke kashachungulia mbele.
Amenogewa na mbususu.....mwache ale vyake. Zikiisha atapambana upyaHasira mwanangu. Naona mshikaji wangu kashakamatika....
Na ndivyo ilivyo!!lakini Mungu hawezi mwacha coz akimtelekeza na mtoto mambo ndio yatamharibikia zaidi!!Umenielewa nilichomaanisha, Huyu mshikaji ataumia sana, Baadae Mali yake watagawana pasu kwa pasu, mwanamke kashachungulia mbele.
Kwa kuongezea wakati anampa Ushauri auwasilishe Kwa njia zote mbili, Sauti na written kisha akauhifadhi sehemuUshauri wangu mwambie UKWERIIIII na hata ikiwa atakupunguza kwenye Maisha yake ama kukuchukia.
Fanya Kama vile PILATO ALIVYO jitoa kwenye kesi ya mkombozi YESU KRISTO wa Nazareth.
Kwa Sasa ushauri wangu ni huo.
Hii nzurii Sanaa Sanaa 😊 naomba azingatie huu ushauri mzuri sanaa 🙏🙏Kwa kuongezea wakati anampa Ushauri auwasilishe Kwa njia zote mbili, Sauti na written kisha akauhifadhi sehemu
Mambo yakimwendea ndivyo sivyo utachukua Flash yenye ule ujumbe uliompatia Kwa njia ya sauti kisha utanunua zile speaker za Bwana Majizo halafu uta bonyeza Repeat
Baada ya hapo tutakuwa sehemu tunakunywa naye juicy ya tende huku tunamsikilizisha ule ujumbe wa sauti 😜
Jamaa hajasema kuwa ni mkee wake kasema ni demu wake na haijulikana kama wanaishi pamoja. Ila kikubwa hata wakigawana sio mbaya jamaa atapata nusu ya alichowekezaMwanamke katazama mbele, lazima Mali wagawane, mwanamke anatumia akili kupata hiyo Mali, imeisha hiyiooo.
Kabisa Mkuu, changamoto ya sisi Wanaume wakati mwingine ni kukubali kuendeshwa na mapenziHii nzurii Sanaa Sanaa 😊 naomba azingatie huu ushauri mzuri sanaa 🙏🙏
Hakika,na watu watambue kuwa si wanawake wote wabaya na si wanaume wote wabayaMimi naona kama ameuza akaenda kununua kwingine ni sawa tu.
Tena huyo mwanamke kamshauri vizuri kujenga ingekuwa mwingine angekuwa anakesha Bar na vimada mpaka pesa iishe.