Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 969
- 3,067
- Thread starter
- #21
Mwanamke katazama mbele, lazima Mali wagawane, mwanamke anatumia akili kupata hiyo Mali, imeisha hiyiooo.Mimi naona kama ameuza akaenda kununua kwingine ni sawa tu.
Tena huyo mwanamke kamshauri vizuri kujenga ingekuwa mwingine angekuwa anakesha Bar na vimada mpaka pesa iishe.