Huko mbeleni atajutia maamuzi yake

Huko mbeleni atajutia maamuzi yake

Nampongeza sana huyo jamaa pamoja na mke/demu/mpenzi/hawara wake. Huyo jamaa ana akili za pesa kama kaweza kuwa na kiwanja cha 100m. Ushauri wa mwanamke kuuza na kwenda kujenga kwingine ni sahihi kwa 100%. Kuna maeneo kama huna uwezo bora uwapishe wenye uwezo na wewe kuhamia unapomudu. Pia rafiki kama wewe kupigwa chini ni uamuzi sahihi kwa sababu una wivu mkali sana. Waache wapendanao wafanye maendeleo kwa ajili ya familia yao. WANAOSEMA UMSHAURI JAMAA NI WAPUMBAVU KAMA WEWE.
nilichojifunza jamaa kapunguzwa na yeye alijua mshkaji kapata 100m atakula maisha kumbe jamaa anamipango yake tofuti na kafukara kawatu kanako subiri kupewa hela na rafiki
 
Kuna Rafiki yangu, ameuza eneo lake kwa 100m Tsh, Sasa huyu dogo, alikua na eneo ambalo ameshindwa kuliendeleza.

Kuna uzembe ambao Mimi nimeuona ameshaufanya mara tu baada ya kupata hiyo 100m.

amenunua eneo Sehemu ingine anafanya ujenzi, Kuna Manzil anaishi nae Dem kashajiongeza anamwambia mshikaji kua ana mimba. Na site wanaenda wote kuangalia ujenzi na Sasa hivi Dem mda wote anajifanya anataka akasimamie site. Na ukiangalia ujanja ujana wa yule mwanamke huyo mchizi uko mbeleni atapasuka ajutie maamuzi yake.

Katika maongezi maongezi mchizi kajisahau kua alishauliwa na mwanamke wauze lile eneo wakanunue kwengine, hapo nikwaza Faster kua kama mwanamke amemshauri wauze wakanunue kwengine Tayari mwanamke alitazama udhaifu wa kushindwa kupaendeleza ameutumia kama njia ya kufanikisha malengo yake.

Mwanamke sasa hivi anaonyesha kipaumbele sana kwenye mikakati kwenye hiyo pesa, ameanza kupunguza mpaka baadhi ya Marafiki ambao wako karibu na mshikaji, mchizi Hana mtoto ata mmoja mwanamke ametumia pia gepu hilo kucheza karata yake.

Ninachokina ni kama mshikaji Mali yake ameiweka Rehani huyo anaemuita Honey one day mchizi atajutia alichokifanya pia mwanamke sasa hivi anakuja mpaka kwenye Biashara kumsoma mshikaji kipato chake na mzunguko wa pesa, maana mshikaji amenambia Dem anamuomba amnunulie Ist maana.

Kwa ninachokiamini sio Kila Rafiki ni Rafiki mzuri, kwa sasa hivi naona huyu jamaa hata umshauri Nini hatokuelewa ameshakua chizi kwa mwamvuli wa mimba. Na kwa sasa kusema Tuongee chochote kwa huyu mshikaji ni lazima kitafika kwa mwanamke tumekua kama ndugu wasikilizaji tu.
Kwa kuwa ni mtu mzima mwache, asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu. Kuna bwege moja alikuwa rafiki yangu mwanzoni nilikuwa namjali sana tunaongea mambo ya kiutu uzima kupambana na maisha kumbe mwamba ni mdhaifu sana kwa wanawake. Kipindi tunahustle sometimes hata elfu 20 inatupiga chenga mwamba ananidanganya hana hela, anakuja kwangu ananiomba buku 10. Mi nampa kiroho safi, kumbe nikaja kujua ana mchepuko wa kitanga. Mtoto kamteka jamaa kawa kama mbwa aliyemwona chatu. Kila nikimshauri hashauriki. Siku moja nakuja kugundua amempa mama wa mchepuko sh laki 5, kampa dada wa mchepuko sh laki 2, kampa mchepuko laki 3. Alafu anakuja kwangu tunaganga maisha ya kwenda kununua dagaa. Nilimshauri akawa hanielewi kabisa nikaamua kumtema mazima. Yule mchepuko alikuja kumuwekea dawa jamaa akazira hata kwenda kwa mkewe. Siku akienda kwa mkewe jamaa ataugua vibaya sana, akirudi kwa mchepuko anapona fresh. Aliteseka miaka mitatu akaja kuombewa na wachungaji makanisa ya maombezi ndo akaja kutapika vitu vya ajabu. Baadaye akaja kuniomba msamaha, nilimsameheila sikuhangaika naye tena, maana sasa hivi naona amerudi tena kwa mwingine.
 
Huenda akawa sahihi pia kwenye maamuzi yake kumbuka nyie marafiki hamtaweza kumpa familia
Kama yataenda vibaya basi atajifunza huko huko mbeleni
 
nilichojifunza jamaa kapunguzwa na yeye alijua mshkaji kapata 100m atakula maisha kumbe jamaa anamipango yake tofuti na kafukara kawatu kanako subiri kupewa hela na rafiki

😀😀😀😀 Hiyo ndo maanake. Jamaa katoswa mgawo ikamuuma sana hadi akashusha uzi. Nakakutana na spana za JF.
 
Kwa kuwa ni mtu mzima mwache, asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu. Kuna bwege moja alikuwa rafiki yangu mwanzoni nilikuwa namjali sana tunaongea mambo ya kiutu uzima kupambana na maisha kumbe mwamba ni mdhaifu sana kwa wanawake. Kipindi tunahustle sometimes hata elfu 20 inatupiga chenga mwamba ananidanganya hana hela, anakuja kwangu ananiomba buku 10. Mi nampa kiroho safi, kumbe nikaja kujua ana mchepuko wa kitanga. Mtoto kamteka jamaa kawa kama mbwa aliyemwona chatu. Kila nikimshauri hashauriki. Siku moja nakuja kugundua amempa mama wa mchepuko sh laki 5, kampa dada wa mchepuko sh laki 2, kampa mchepuko laki 3. Alafu anakuja kwangu tunaganga maisha ya kwenda kununua dagaa. Nilimshauri akawa hanielewi kabisa nikaamua kumtema mazima. Yule mchepuko alikuja kumuwekea dawa jamaa akazira hata kwenda kwa mkewe. Siku akienda kwa mkewe jamaa ataugua vibaya sana, akirudi kwa mchepuko anapona fresh. Aliteseka miaka mitatu akaja kuombewa na wachungaji makanisa ya maombezi ndo akaja kutapika vitu vya ajabu. Baadaye akaja kuniomba msamaha, nilimsameheila sikuhangaika naye tena, maana sasa hivi naona amerudi tena kwa mwingine.
Vijana tukiwashauri wawe vizuri kwenye ishu za mitishamba wanatuona wajinga na kujiaminisha hakuna uchawi. Wanawake wengi wamewekeza mno kwenye mitishamba. Asilimia kubwa huenda kwa waganga ili kuwateka wanaume.
 
Kuna watu nyapu zinawapelekesha sana aisee!!
Majuzi nimekutana na jamaa yangu tulimaliza olevel wote,yupo na kicheche wa shule kipindi tunasoma basi jamaa limekufa limeoza linapelekeshwa tu,wakat ile nyapu kila muhuni aliipiga kipindi kile!
Saa ingine si ushamba wala ulimbukeni, ni love, trust na naiveness MANDEVUMENGI
 
Au anataka jamaa awe KATAA NDOA. Halafu hawa wanawake sometimes wana msaada sana wa kumbadili mtu na kuwa mwenye akili zaidi. Kuna watu wengi tu walianza mahusiano na wanawake wakajikuta wanafanya maendeleo makubwa. Nina mfano hai wa mtu aliyekuwa analala sebuleni kwa dada yake ila baada ya kupata mpenzi walianza kuishi wote kwa dhiki na kwa sasa wamejenga huko Majohe.
Wanawake wa hivyo ni wachache, au unasemea hawahawa wanawake wanaopiga vizinga vya vocha ndo huenda wakatugea akili za kujenga MamaSamia2025
 
acha tu amnunulie malaya wake ist,
akijifungua pia amsomeshe pale IST.
itasound good sana.ila huyo slay queen mjanja sana, nampongeza kwa kujiongeza.
 
Mwambie ukweli huo ndio undugu hata akikuchukia lkn baadae atakuja kukumbuka, ikipendeza umshauri ajiwekeze pasipo kumshirikisha huyo Malaya, sio kila kitu lazima amshilikishe mwanamke afiche siraha nyingine pemben, hapo bado haja nyonywa kinyeo atachanganyikiwa kwakweli,,
 
Mwanamke na pesa ni ndugu kama demu analengo baya basi mshkaji atapasuka vibaya mshauri awe kama yule mchezaj wa moroco
 
Kwa kuwa ni mtu mzima mwache, asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu. Kuna bwege moja alikuwa rafiki yangu mwanzoni nilikuwa namjali sana tunaongea mambo ya kiutu uzima kupambana na maisha kumbe mwamba ni mdhaifu sana kwa wanawake. Kipindi tunahustle sometimes hata elfu 20 inatupiga chenga mwamba ananidanganya hana hela, anakuja kwangu ananiomba buku 10. Mi nampa kiroho safi, kumbe nikaja kujua ana mchepuko wa kitanga. Mtoto kamteka jamaa kawa kama mbwa aliyemwona chatu. Kila nikimshauri hashauriki. Siku moja nakuja kugundua amempa mama wa mchepuko sh laki 5, kampa dada wa mchepuko sh laki 2, kampa mchepuko laki 3. Alafu anakuja kwangu tunaganga maisha ya kwenda kununua dagaa. Nilimshauri akawa hanielewi kabisa nikaamua kumtema mazima. Yule mchepuko alikuja kumuwekea dawa jamaa akazira hata kwenda kwa mkewe. Siku akienda kwa mkewe jamaa ataugua vibaya sana, akirudi kwa mchepuko anapona fresh. Aliteseka miaka mitatu akaja kuombewa na wachungaji makanisa ya maombezi ndo akaja kutapika vitu vya ajabu. Baadaye akaja kuniomba msamaha, nilimsameheila sikuhangaika naye tena, maana sasa hivi naona amerudi tena kwa mwingine.
hilo sikio la kufa....bora umeachana nae mapema
 
Mimi naona kama ameuza akaenda kununua kwingine ni sawa tu.
Tena huyo mwanamke kamshauri vizuri kujenga ingekuwa mwingine angekuwa anakesha Bar na vimada mpaka pesa iishe.
Huoni hapo Demu anaweka mazingira kuwa walichuma na kujenga pamoja ili waje kugawana pasu kwa pasu?
 
Kuna Rafiki yangu, ameuza eneo lake kwa 100m Tsh, Sasa huyu dogo, alikua na eneo ambalo ameshindwa kuliendeleza.

Kuna uzembe ambao Mimi nimeuona ameshaufanya mara tu baada ya kupata hiyo 100m.

amenunua eneo Sehemu ingine anafanya ujenzi, Kuna Manzil anaishi nae Dem kashajiongeza anamwambia mshikaji kua ana mimba. Na site wanaenda wote kuangalia ujenzi na Sasa hivi Dem mda wote anajifanya anataka akasimamie site. Na ukiangalia ujanja ujana wa yule mwanamke huyo mchizi uko mbeleni atapasuka ajutie maamuzi yake.

Katika maongezi maongezi mchizi kajisahau kua alishauliwa na mwanamke wauze lile eneo wakanunue kwengine, hapo nikwaza Faster kua kama mwanamke amemshauri wauze wakanunue kwengine Tayari mwanamke alitazama udhaifu wa kushindwa kupaendeleza ameutumia kama njia ya kufanikisha malengo yake.

Mwanamke sasa hivi anaonyesha kipaumbele sana kwenye mikakati kwenye hiyo pesa, ameanza kupunguza mpaka baadhi ya Marafiki ambao wako karibu na mshikaji, mchizi Hana mtoto ata mmoja mwanamke ametumia pia gepu hilo kucheza karata yake.

Ninachokina ni kama mshikaji Mali yake ameiweka Rehani huyo anaemuita Honey one day mchizi atajutia alichokifanya pia mwanamke sasa hivi anakuja mpaka kwenye Biashara kumsoma mshikaji kipato chake na mzunguko wa pesa, maana mshikaji amenambia Dem anamuomba amnunulie Ist maana.

Kwa ninachokiamini sio Kila Rafiki ni Rafiki mzuri, kwa sasa hivi naona huyu jamaa hata umshauri Nini hatokuelewa ameshakua chizi kwa mwamvuli wa mimba. Na kwa sasa kusema Tuongee chochote kwa huyu mshikaji ni lazima kitafika kwa mwanamke tumekua kama ndugu wasikilizaji tu.
Milion 100 alafu anashikiwa akili na mwanamke basi hakustahili kumiliki hiyo hela Zaidi ya kuona maandishi Tu.
 
Huwa nafundisha watu kuwa kila mtu ana kiwango cha hela anachoweza kukihimili. Na ukitaka kufanikiwa basi jitahidi kupandisha uwezo wako wa kiakili wa kuhimili viwango vikubwa na ukaonekana wa kawaida. Kuna mtu uwezo wake mwisho ni milioni 1 tuu, akipata zaidi ya hapo anajiona anazo na utamgundua kwa matendo yake. Shoppings za hovyo hovyo, spending na wanawake etc. akifika dukani hata haulizi bei analipua tuu. Ila pesa ikianza kuisha ikifikia kiwango chake cha uhimili, basi anajiona sasa hana hela na anaanza kuishi maisha ya kawaida.
 
Ipo hivyo
 
Back
Top Bottom