Kwa hiyo amekuwa mwana kulipata,mwana kulitafuta na kulipata!Kuna Rafiki yangu, ameuza eneo lake kwa 100m Tsh, Sasa huyu dogo, alikua na eneo ambalo ameshindwa kuliendeleza.
Kuna uzembe ambao Mimi nimeuona ameshaufanya mara tu baada ya kupata hiyo 100m.
amenunua eneo Sehemu ingine anafanya ujenzi, Kuna Manzil anaishi nae Dem kashajiongeza anamwambia mshikaji kua ana mimba.
Na site wanaenda wote kuangalia ujenzi na Sasa hivi Dem mda wote anajifanya anataka akasimamie site.
Na ukiangalia ujanja ujana wa yule mwanamke huyo mchizi uko mbeleni atapasuka ajutie maamuzi yake.
Katika maongezi maongezi mchizi kajisahau kua alishauliwa na mwanamke wauze lile eneo wakanunue kwengine, hapo nikwaza Faster kua kama mwanamke amemshauri wauze wakanunue kwengine Tayari mwanamke alitazama udhaifu wa kushindwa kupaendeleza ameutumia kama njia ya kufanikisha malengo yake.
Mwanamke sasa hivi anaonyesha kipaumbele sana kwenye mikakati kwenye hiyo pesa, ameanza kupunguza mpaka baadhi ya Marafiki ambao wako karibu na mshikaji, mchizi Hana mtoto ata mmoja mwanamke ametumia pia gepu hilo kucheza karata yake.
Ninachokina ni kama mshikaji Mali yake ameiweka Rehani huyo anaemuita Honey one day mchizi atajutia alichokifanya pia mwanamke sasa hivi anakuja mpaka kwenye Biashara kumsoma mshikaji kipato chake na mzunguko wa pesa, maana mshikaji amenambia Dem anamuomba amnunulie Ist maana.
Kwa ninachokiamini sio Kila Rafiki ni Rafiki mzuri, kwa sasa hivi naona huyu jamaa hata umshauri Nini hatokuelewa ameshakua chizi kwa mwamvuli wa mimba.
Na kwa sasa kusema Tuongee chochote kwa huyu mshikaji ni lazima kitafika kwa mwanamke tumekua kama ndugu wasikilizaji tu.
Uwezekano wa kutoboa ni mdogo, sana, katika 100% Yeye ana 1% Ogopa sana mtu ambae kashakusoma udhaifu wako, kupitia udhaifu wako mtu anakupasua faster,Ikatokea hajafeli sasa ndo kwanza akatusua, napo uje utushushie Uzi, kwa maana Uzi wako haugarantee losses ya mshkaji wako.
Bro. Kuhonga kuna raha yakeKuna Rafiki yangu, ameuza eneo lake kwa 100m Tsh, Sasa huyu dogo, alikua na eneo ambalo ameshindwa kuliendeleza.
Kuna uzembe ambao Mimi nimeuona ameshaufanya mara tu baada ya kupata hiyo 100m.
amenunua eneo Sehemu ingine anafanya ujenzi, Kuna Manzil anaishi nae Dem kashajiongeza anamwambia mshikaji kua ana mimba.
Na site wanaenda wote kuangalia ujenzi na Sasa hivi Dem mda wote anajifanya anataka akasimamie site.
Na ukiangalia ujanja ujana wa yule mwanamke huyo mchizi uko mbeleni atapasuka ajutie maamuzi yake.
Katika maongezi maongezi mchizi kajisahau kua alishauliwa na mwanamke wauze lile eneo wakanunue kwengine, hapo nikwaza Faster kua kama mwanamke amemshauri wauze wakanunue kwengine Tayari mwanamke alitazama udhaifu wa kushindwa kupaendeleza ameutumia kama njia ya kufanikisha malengo yake.
Mwanamke sasa hivi anaonyesha kipaumbele sana kwenye mikakati kwenye hiyo pesa, ameanza kupunguza mpaka baadhi ya Marafiki ambao wako karibu na mshikaji, mchizi Hana mtoto ata mmoja mwanamke ametumia pia gepu hilo kucheza karata yake.
Ninachokina ni kama mshikaji Mali yake ameiweka Rehani huyo anaemuita Honey one day mchizi atajutia alichokifanya pia mwanamke sasa hivi anakuja mpaka kwenye Biashara kumsoma mshikaji kipato chake na mzunguko wa pesa, maana mshikaji amenambia Dem anamuomba amnunulie Ist maana.
Kwa ninachokiamini sio Kila Rafiki ni Rafiki mzuri, kwa sasa hivi naona huyu jamaa hata umshauri Nini hatokuelewa ameshakua chizi kwa mwamvuli wa mimba.
Na kwa sasa kusema Tuongee chochote kwa huyu mshikaji ni lazima kitafika kwa mwanamke tumekua kama ndugu wasikilizaji tu.
Ataumia vibayaKuna Rafiki yangu, ameuza eneo lake kwa 100m Tsh, Sasa huyu dogo, alikua na eneo ambalo ameshindwa kuliendeleza.

Kaa nae chini na endelea kumshauri vizuri kwa utulivuKuna Rafiki yangu, ameuza eneo lake kwa 100m Tsh, Sasa huyu dogo, alikua na eneo ambalo ameshindwa kuliendeleza.
Kuna uzembe ambao Mimi nimeuona ameshaufanya mara tu baada ya kupata hiyo 100m.
amenunua eneo Sehemu ingine anafanya ujenzi, Kuna Manzil anaishi nae Dem kashajiongeza anamwambia mshikaji kua ana mimba.
Na site wanaenda wote kuangalia ujenzi na Sasa hivi Dem mda wote anajifanya anataka akasimamie site.
Na ukiangalia ujanja ujana wa yule mwanamke huyo mchizi uko mbeleni atapasuka ajutie maamuzi yake.
Katika maongezi maongezi mchizi kajisahau kua alishauliwa na mwanamke wauze lile eneo wakanunue kwengine, hapo nikwaza Faster kua kama mwanamke amemshauri wauze wakanunue kwengine Tayari mwanamke alitazama udhaifu wa kushindwa kupaendeleza ameutumia kama njia ya kufanikisha malengo yake.
Mwanamke sasa hivi anaonyesha kipaumbele sana kwenye mikakati kwenye hiyo pesa, ameanza kupunguza mpaka baadhi ya Marafiki ambao wako karibu na mshikaji, mchizi Hana mtoto ata mmoja mwanamke ametumia pia gepu hilo kucheza karata yake.
Ninachokina ni kama mshikaji Mali yake ameiweka Rehani huyo anaemuita Honey one day mchizi atajutia alichokifanya pia mwanamke sasa hivi anakuja mpaka kwenye Biashara kumsoma mshikaji kipato chake na mzunguko wa pesa, maana mshikaji amenambia Dem anamuomba amnunulie Ist maana.
Kwa ninachokiamini sio Kila Rafiki ni Rafiki mzuri, kwa sasa hivi naona huyu jamaa hata umshauri Nini hatokuelewa ameshakua chizi kwa mwamvuli wa mimba.
Na kwa sasa kusema Tuongee chochote kwa huyu mshikaji ni lazima kitafika kwa mwanamke tumekua kama ndugu wasikilizaji tu.
Umenielewa nilichomaanisha, Huyu mshikaji ataumia sana, Baadae Mali yake watagawana pasu kwa pasu, mwanamke kashachungulia mbele.Wakati mwingine upepo wa maisha unakusuma Hadi unashindwa kujielewa kama ni wewe kweli au lah!
Kifupi kama hujawahi kumpa mwanamke mimba halafu ikatokea mmoja akakuambia ana mimba yako lazima akili ikuruke na utafanya maamuzi ya ajabu hata kama marafiki wakikushauri tu utawaona hawafai!!
Nakumbuka Kwa mara ya kwanza ilinichanganya sana!nilifanya maamuzi bila kushirikisha hasta wazazi hadi Leo Kuna baadhi ya mambo najuta sana,nisingefanya vile!!
KIBAYA ZAIDI WANAWAKE HAWAJAJITOA KWETU SANA KAMA SISI TUNAVYOJITOA JITOA KWAO KILA SIKU!!TUNA RISK MAISHA ,KIPATO NA HATMA KWA AJILI YAO,LAKINI WAO WANAONA SI KITU KABISA TENA WANAWEZA KUKUAIBISHA MBELE YA MARAFIKI ZAKO ETI HUJIELEWI WALA HUHUDUMII FAMILIA YAKO MWENYEWE!!
SO SAD!!
Mkuu sasa ndio hata huweki paragrafu?Kuna Rafiki yangu, ameuza eneo lake kwa 100m Tsh, Sasa huyu dogo, alikua na eneo ambalo ameshindwa kuliendeleza.