Kivipi mkuu..It's just geography
Mwenyewe niliikimbia subir wajuvi waje.
Ook sawa sawa mkuuMwenyewe niliikimbia subir wajuvi waje.
Kupwa na kujaa ni baharini tu ziwa ni dogo sana.
HahahahHayo ndo mabadiliko ya hali ya hewa mkuu ni ama kuna mahali zile zenye mibarafu mingi zimeamua kumwaga radhi..[emoji28]
Ook sawa sawa
Ok sawa sawa mkuu,hii hal imetisha sasaMvua zimekua nyingi sana mwaka jana hadi mwaka huu zipo zipo.
Makazi mengi yamekuwa hatarini huu mwaka
Sayansi kubwa mkuu..udongo unajaa kivipiKina cha maji kinapungua(udongo unajaa)
Luckman1
Hakika mkuu,kuna video flan niliiyona ya watu wa Kagera huko..biashara zao zimeyumba haswa senene ziliharibikaMakazi mengi yamekuwa hatarini huu mwaka
may be mkuu..wanasadiki kuwa mambo kama hayo yametokea zaidi ya miaka 60+ iliyopita