Huko Marekani weusi wanakwisha

Walisha ambiwa america is not for blacks warudi africa wwawekeze iwe kama huko maaana huku bdio kwao
 
Walisha ambiwa america is not for blacks warudi africa wwawekeze iwe kama huko maaana huku bdio kwao

Warudi Afrika wanakochinjwa akina Anathe Msuya? Wanakotekwa akina Ulimboka? Wanakouliwa akina Profesa Mwakyusa na Dokta Mvungi?

Ndo warudi huko?
 
Ingekuwa kwa wale wajomba zetu hii habari imetoka kwa waarabu uzi ungekuwa page ya 10 lakini mzungu hutasikia watu kutokwa povu hapa
mtu mweusi Mwingine auawa leo na polisi( mchina) mr philando castile in minesota
 
Hao Saba mbona cha mtoto, ile weekend ya Memorial Day; weusi Kama 40+ waliuliwa na weusi wenzao huko Chicago!.
 
Hao Saba mbona cha mtoto, ile weekend ya Memorial Day; weusi Kama 40+ waliuliwa na weusi wenzao huko Chicago!.
hakuna anayelalamika au kuona huruma
Leo wanatuambia eti 'wamarekani weusi wanakwisha' please!
 
hakuna anayelalamika au kuona huruma
Leo wanatuambia eti 'wamarekani weusi wanakwisha' please!

Toka Freddie Gray afe mikononi mwa polisi kule Baltimore...umeona takwimu za black on black murder rate?
 
Toka Freddie Gray afe mikononi mwa polisi kule Baltimore...umeona takwimu za black on black murder rate?
Mkuu Freddie alipouawa siku iliyofuata Chicago mtaa ukazika 3 on spot. Hakuna anayeona haya, watu wanaona jambo moja

South Chicago jioni ikifika mnafikiria kuzika nyumba ya pili kama si mtaa unofuata. Ni black kwa black
 
Hivi Freddie Gray aliuawawa au alikufa mikononi mikononi mwa polisi [tena ambao wengi walikuwa weusi na mmoja juzi kapatikana hana hatia tena na jaji mweusi]?

Hakuna anayejali black on black crime...ambayo ndo inawamaliza mno weusi.

Huko Baltimore kwenyewe baada ya Freddie Gray murder rater [black on black] imeongezeka kupita kifani.

78% increase in homicides in Baltimore since Freddie Gray riots
 
Wiki ile Polisi walipoamua kususia ulinzi kwa hofu ya kushtakiwa, kulitokea vifo 7 kwa wiki kwa wastani almost a month. Na hao ni black kwa balck.

Hata wanapo protest to advance the cause, rally zao ni za kutaka kuleta fujo ili wafanye looting.
Ilionekana Baltimora, na kesi nyingine.

Huwezi ku advocate peace and equality wakati una commit crime umma ukaelewa.

Hakuna anayejiuliza, kwanini drop out ya highschool ni kubwa kwa black kuliko race ninyingine
Kwanini si Walatino, wahindi au Wachina! na kwanini black wanakuwa vulnerable kuliko race nyingine
 
Kwa nini binadamu,tunakuwa hatuna huruma,tunauana ovyo?Marekani maelfu ya watu wanauliwa kutokana na rangi zao tu.
Maeneo mbali mbali ya Mashariki ya kati,watu wanauana bila huruma,kwa mabomu na vita visivyokwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…