Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,198
- 138,561
maduka yanaiba dawa hospitalini,yosegee mita 500. hii nchi ina watu hopeless kabisa
alidundwaje?Uongo mwiiingi,bush alikuaga anambonda mkewe bi. Laura mpk anakimbilia kwenda kulala hotelini.
Trump aliwahi kuwa mwanajeshiVipi kuhusu Trump, nae ni hivyo?
Ngumi za kutosha,kifupi GBV aliitekeleza ipasavyo.alidundwaje?
Wewe uliyeko huko Tinde ndie unadhani story za GBV hazifanyiki huko mambele.Unafikiri huko kwa wenzetu watu huwa wanabondana tu kijinga kama nyie mnavyobondana hapo kibaigwa?
weka ushahidi, wazungu wanajali sana haki za wanawake,asingebaki ikuluNgumi za kutosha,kifupi GBV aliitekeleza ipasavyo.
Labda alikua wa JKT Suma.Trump aliwahi kuwa mwanajeshi
Tumia Google.com,itakupa kila unachokitaka.weka ushahidi, wazungu wanajali sana haki za wanawake,asingebaki ikulu
Ndio maana aliongoza only for 4 years kiuhalisia Ilikuwa bora wampitishe Tramp kuliko Bi Clinton... Ndio ujuwe USA sio watu wa mchezo mchezo..Kama Trump nae alipimwa kwa hivi vigezo basi US kazi wanayo
Mpk tunafika mahali tunapitisha mgombea kichaa, jiwe, "Mimi huwa sipangiwi" n.kSasa Afrika ya Tanzania mgombea hajulikani
Huku ni bara la giza sn hakuna kinachoendelea zaidi ya watawala kupiga pesa za ummaAfrica tuna safari ndefu sana mithili ya safari ya kwenda Mars.
Ni hivi huko duniani kuwa Rais wa Taifa sio lelemama yani baba unapimwa uwezo wako yani utapigwa maswali wewe na wazee waliopiga kitabu wakatoka moshi kichwani.
Yani utafuwatiliwa maisha yako je unasoma vitabu? Unaijuwa nchi yako umetengeneza Bills ngapi zikaleta impact kwenye jamii?
Je unasoma mambo muhimu yakitaifa? Au wewe unapenda udaku.
Je, unasoma taarifa muhimu za siri na unaweza toa comment?
Your level of IQ hapa utakoma yani unatoa mada watu wanakuchambua mwanzo mwisho.
Jamaa wanaenda mbali sana nakuangalia uwezo wako wakusoma vitabu na kutunga vitabu yani hawana habari zetu za Africa hawa jamaa wapo serius na taasisi yao ya Urais.
Ndio maana Bill Clinton kamchepuko tu kangemuondoa ikulu.
Mke wake kosa dogo tu lakuto respond email za CIA na kuvuja kwa email nyeti kule Afghanistan na vifo vya yule agent wa cia ikawe Urais ameukosa. Yani ilikuwa bonge ya issue mpaka mama wa watu akawa mgonjwa.
Hakuna Taifa lenye nguvu dunian wanacheza na hii taasisi kwao hakuna kupokezana vijiti ila kuna kitu kinaitwa performance and integrity.
Unapo ona Baba na mtoto wamekuwa Rais kwa pamoja sio upendeleo ila performance na uzalendo kwa Taifa. Unaambiwa Bush Baba na Mtoto mmoja alikuwa CIA Director Baba na Mtoto Mrusha ndege zakivita na amepona vifo mara kadhaa kwa Taifa lake.
Africa kazi tunayo.
God have a Mercy on us.
Jamaa wapo mbali snUsisahau Russian intrusion kwenye mifumo ya computer.
Putin hakumtaka kabisa Hillary kwa namna ambavyo alikuwa akiwasaidia wapinzani wa Putin wakati Hillary akiwa waziri wa mambo ya nje.
Hivyo pamoja na udhaifu wa Trump, Putin alimtumia Gen Flyn kama papet wake kupitia Balozi wa Urusi nchini Marekeani Sergey Kislyak
Andiko la mdau lina akili, ila ndio hivyo, at some point hata US na ujanja wao wote, kuna wakati waliingia chaka kwa kuendekeza white supremacy.
Ila lijamaa liliwafaa conservative kwenye mambo ya imani na ndoa. Maana akina Obama, Hillary na Biden ni too liberal mpaka wanakubalina na ndoa za jinsia moja. Kwa sasa kwenye cabinet ya Biden kuna waziri mmoja mwanaume, anapumumliwa na dume jenzake.
Hilo ni moja ya jambo weupe wengi waliona bora nusu shari ya kuwa na mjinga kama Trump ili kulinda maadili ya kiutu, kuliko kuwa na Hillary ambae atasababisha nchi kuwa na major move ya moral decay.
F
Kama umekuwa ukifuatilia Presidential debates na opinion polls, ni mtu wa kwanza kushindwa debates zote tatu, ni mtu wa kwanza ku-miss behave kwenye debates.Ndio maana aliongoza only for 4 years kiuhalisia Ilikuwa bora wampitishe Tramp kuliko Bi Clinton... Ndio ujuwe USA sio watu wa mchezo mchezo..
Sasa Tanzania na Chief Hangaya na JK tunatoboa kweli?Africa tuna safari ndefu sana mithili ya safari ya kwenda Mars.
Ni hivi huko duniani kuwa Rais wa Taifa sio lelemama yani baba unapimwa uwezo wako yani utapigwa maswali wewe na wazee waliopiga kitabu wakatoka moshi kichwani.
Yani utafuwatiliwa maisha yako je unasoma vitabu? Unaijuwa nchi yako umetengeneza Bills ngapi zikaleta impact kwenye jamii?
Je unasoma mambo muhimu yakitaifa? Au wewe unapenda udaku.
Je, unasoma taarifa muhimu za siri na unaweza toa comment?
Your level of IQ hapa utakoma yani unatoa mada watu wanakuchambua mwanzo mwisho.
Jamaa wanaenda mbali sana nakuangalia uwezo wako wakusoma vitabu na kutunga vitabu yani hawana habari zetu za Africa hawa jamaa wapo serius na taasisi yao ya Urais.
Ndio maana Bill Clinton kamchepuko tu kangemuondoa ikulu.
Mke wake kosa dogo tu lakuto respond email za CIA na kuvuja kwa email nyeti kule Afghanistan na vifo vya yule agent wa cia ikawe Urais ameukosa. Yani ilikuwa bonge ya issue mpaka mama wa watu akawa mgonjwa.
Hakuna Taifa lenye nguvu dunian wanacheza na hii taasisi kwao hakuna kupokezana vijiti ila kuna kitu kinaitwa performance and integrity.
Unapo ona Baba na mtoto wamekuwa Rais kwa pamoja sio upendeleo ila performance na uzalendo kwa Taifa. Unaambiwa Bush Baba na Mtoto mmoja alikuwa CIA Director Baba na Mtoto Mrusha ndege zakivita na amepona vifo mara kadhaa kwa Taifa lake.
Africa kazi tunayo.
God have a Mercy on us.
Ulichokiandika ndio mwisho wa mawazo yako au unaendelea kuandika?Tukumbuke pia, haya mataifa ya Africa ni machanga sana aka nchi changa.... hao tunaotolea mifani ni mataifa yaliyokomaa na yana miaka miiingi tangu uwepo wake..
Unafaa kuwa Rais wetuAfrica tuna safari ndefu sana mithili ya safari ya kwenda Mars.