Huko arusha vipi

Kiyoya

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,646
820
Enyi watu wa arusha tafadhari niondoeni wasiwasi kuna habari nimesikia juu ya rais wetu-shwari huko
 
enyi watu wa arusha tafadhari niondoeni wasiwasi kuna habari nimesikia juu ya rais wetu-shwari huko

una wasi wasi wa nini...umeleta mada robo robo mkuu,...come again..!
 
Yuko anaendelea kupata Wisky baada ya kufungua jengo la EAC....au umesikia ameanguka tena mkuu?
 
sasa mleta mada angetudokeza ingefaa katuacha juu juu si tutajuaje sasa kasikia yeye halafu anataka sisindio tumwambie.
 
Watu wengine bwana!......sasa ndio nini hiki umeleta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…