Enyi watu wa arusha tafadhari niondoeni wasiwasi kuna habari nimesikia juu ya rais wetu-shwari huko
mpaka sasa wengine hatujasikia chochote....hebu tupe maudhui ni nini ili tufuatilie......
enyi watu wa arusha tafadhari niondoeni wasiwasi kuna habari nimesikia juu ya rais wetu-shwari huko
usikute unaota mkuu
Mimi nilidhani anamuulizia Rais wa Arusha Godbless Lema, kumbe yeye anamuulizia huyu Rais Diaspora?Yuko anaendelea kupata Wisky baada ya kufungua jengo la EAC....au umesikia ameanguka tena mkuu?