Zapa RadioFm
Senior Member
- Feb 12, 2016
- 112
- 171
- Thread starter
- #21
Unganisha dotsNdio maana wamempeleka Jk UDSM ?
Unganisha dotsNdio maana wamempeleka Jk UDSM ?
Mbona unatoka povu jibu hojaWatu wanaakili za paka kweli. Yaani jitu limeandika barua, ka pest mhuri na sahihi ya Manonga. Hawa ndo polisi wafanye kazi Yao akafie jera. Mtu mzima hovyooooo
Mbona unajishukuMue mnatumia akili basi kufikiri kwelii unafanya njama kama hiyo alafu muandike na barua lol tena mgonge na muhuri kabisa na ukubali kuweka na sahihiii???watu hata sms huwa haziandikwii kwenye hujuma kama hizi...nyie vijana wa UKAWA ndio maana hata El mlikua mnampeleka chaka akahisi atashinda uchaguzi..Muwe waelevu kidogo tuu itawasaidia..Anyways mmempa habari Kubenea ataandika kwenye gazeti lake maana hizi ndio hbari zake
Ili mjenge CREDIBILITY hapa JF then request for VERIFICATION manake watu wabishi wanaweza kusema "hata mimi ningeweza kufungua a/c yenye same ID!!" na huwezi kumbishia!!Tunafuata sheria za uwandishi wa habari na hii ni account ya Zapa Radio Fm ni barua ya kweli
Kwasababu ni CCM..Pia nilipitia UDOM na siasa zenu hizi wana ukawa nazijua toka enzi za MwakibingaMbona unajishuku
Kweli, ukiangalia huu mhuri na signature kama walitumia "snipping tool" wakaubandika hapo ndo maana ukiangalia kuna kama kivuli hivi.Lakini nani bhasi athibitishe barua hii kuwa ni genuine...wasiwasi wangu ni kuwa hata mm Naweza chongesha muhuri n do the same
Yayo mambo tatunaga maana radio haina chamaIli mjenge CREDIBILITY hapa JF then request for VERIFICATION manake watu wabishi wanaweza kusema "hata mimi ningeweza kufungua a/c yenye same ID!!" na huwezi kumbishia!!
Hujanielewa nilichosema! Ninachosema ni kwamba, hata mimi leo hii naweza kufungua User ID hapa JF yenye jina la Clouds RadioFm wakati sina uhusiano wowote na Radio Clouds. Lakini ikiwa account husika itafunguliwa na Clouds wenyewe na wanataka members wasiwe na mashaka basi watatakiwa kuwasiliana na uongozi wa JF ili kui-verify hiyo account. Kwa kuwa wewe account yako haipo VERIFIED, inakosa uhalali wa kuaminika ikiwa ni kweli ni official account ya Zapa Radio. Angalia mifano hii hapa chini. Ignore suala la nembo manake nembo sio issue bali angalia ndani ya RED BOX.Yayo mambo tatunaga maana radio haina chama
mie mwenyewe nimeoiona barua hii nimeshangaa kabisa kweli,kwa hali tutafika?Sio haki kabisa
Sorry, kwa wenye uzoefu... CCM inafayna hayo kwa maslahi gani? hiyo serikali ya wanafunzi iliyokuwepo 'inakwamishaje' mipango yao?Kwa CCM hakuna kinachoshindikana , wameweza Znz watashindwaje just a school(humanities)... Hongereni kwa kutupasha but nothing we can rescue...wana majeshi and everything
Kwasababu ni CCM..Pia nilipitia UDOM na siasa zenu hizi wana ukawa nazijua toka enzi za Mwakibinga
Nimekuelewa lakini nami nimekwambia hii ndio account ya Zapa Radio Fm sina sababu ya kudanganya maana hainisaidi na nikukihuka miko ya KaziHujanielewa nilichosema! Ninachosema ni kwamba, hata mimi leo hii naweza kufungua User ID hapa JF yenye jina la Clouds RadioFm wakati sina uhusiano wowote na Radio Clouds. Lakini ikiwa account husika itafunguliwa na Clouds wenyewe na wanataka members wasiwe na mashaka basi watatakiwa kuwasiliana na uongozi wa JF ili kui-verify hiyo account. Kwa kuwa wewe account yako haipo VERIFIED, inakosa uhalali wa kuaminika ikiwa ni kweli ni official account ya Zapa Radio. Angalia mifano hii hapa chini. Ignore suala la nembo manake nembo sio issue bali angalia ndani ya RED BOX.
View attachment 323343
View attachment 323345
View attachment 323346