Zapa RadioFm
Senior Member
- Feb 12, 2016
- 112
- 171
Mbona haya ni makubwaLeo katika kipindi cha Siasa zetu hapa Radio Zapa Fm zimefichuka siri na Njama za Ccm kuhusu Chuo kikuu cha Dodoma.
Tunafuata sheria za uwandishi wa habari na hii ni account ya Zapa Radio Fm ni barua ya kweliLakini nani bhasi athibitishe barua hii kuwa ni genuine...wasiwasi wangu ni kuwa hata mm Naweza chongesha muhuri n do the same
Kwa CCM hakuna kinachoshindikana , wameweza Znz watashindwaje just a school(humanities)... Hongereni kwa kutupasha but nothing we can rescue...wana majeshi and everythingTunafuata sheria za uwandishi wa habari na hii ni account ya Zapa Radio Fm ni barua ya kweli
Ni hatariKwa CCM hakuna kinachoshindikana , wameweza Znz watashindwaje just a school(humanities)... Hongereni kwa kutupasha but nothing we can rescue...wana majeshi and everything
Mkuu, madaraka ni matamu sana na ni kilevi ambacho hakuna awezaye kukiacha. Kinalevya hatari isipokuwa wenye akiliLakini nivema Watanzania ccm ilivyo
Nivizuri Watanzania wajue ccm ilivyo na mambo yake machafuKwa CCM hakuna kinachoshindikana , wameweza Znz watashindwaje just a school(humanities)... Hongereni kwa kutupasha but nothing we can rescue...wana majeshi and everything
Kwa ujumla ccm ni busha si jipu tenaHii kali...duh, kuna majipu hapo
Ndio wanapo elekeaHiki chama kila kukicha no kufanya mambo ya aibu na wenyewe hawaoni aibu. Iko siku wataamua viongozi kuja hapo Ofisi kuu ccm wakiwa bila nguo na wataona no kawaida tuu