Hujuma waliofanyiwa wachezaji wetu wa Yanga tunatakiwa tujifunze

Wakati mnawapokea kaizer chiefs enzi zile mmesahau leo yamewafika hapa mnajidai mnataka support
 
Habari zenu wakubwa, Kwanza nipende kuwashukuru wachezaji wetu wa Yanga kwa kuweza kuitangaza Tanzania kuwa tunaweza kupambana, pia nipende kutoa shukrani Kwa mashabiki, wadau wa mpira na pia mheshimiwa Rais wetu mpendwa kuwapa Ari ya kufanya vizuri.

Tumejionea hujuma zilizofanywa na wachezaji wa USM hivyo tujifunze na sisi Mbinu ambayo itakayoleta matokeo mazuri kwa kutumia Mbinu zifuatazo.
1. Ikitokea timu zetu zimefika hatua kama walioifikia yanga tunatakiwa tuwe kitu kimoja hakuna simba Wala Azam sote tuwe kitu kimoja.
2. Kuundwe kamati yahujuma.
3. kamati ishirikiane na TFF kusiwe kuna pande mbili zinazovutana.
4. TFF iruhusu kila shabiki Angie na paka kwenye kiroba,idadi ya paka isipungue 1000,timu ikishinda tuwe standby kuwafungulia paka hao waingie uwanjani ili kupoteza muda.

Asanteni.
Kitengo cha paka wapewe Simba..!!
Cc Kalpana, GENTAMYCINE, cocastic et el
 
NOTE:

Moderators mnafuta maandishi yangu kwa misingi gani ikiwa sijamtukana Mtu yeyote?

Tangu wiki jana mmefuta mara 2 nikapotezea, jana tena niliandika hapa ujumbe wangu kwenye uzi huu pia mkafuta.

Acheni upuuzi bhana, mawazo, bando na muda wangu afu kila nikiandika mnafuta tu kama vile mnasaidia ubongo wangu kuchanganua kipi cha kutenda.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom