Hujui thamani yako kabisa wewe mwanamke

Hujui thamani yako kabisa wewe mwanamke

Hahaaa...aiseee ni Nouma, ila kweli ulivo ndivo mwanaume anakuchukulia, lakin pia je unatembelea maeneo gani hasa?? Kama ni Wa uwanjan utampata Wa uwanjan pia
 
haaah bhana alaf asikwambie mtu penzi la uwanjan tamu kama nini yaan kule hakuna gharama na full upepo una kula vitu vyako na kaa upepo katamu mix kavumbi cha kuongeza stimu

eti giraffu hotel ana papuchi ya nini iyoo.............
Itakuwa ina tv
 
Hujui utamu wewe.....
Nini hotel? Hakuna mapenzi matamu kama hayo sasa, chini ya mti unashika mti unapandisha gauni, kwenye jumba ambalo halijaisha unasogeza bikini, kuna vitu kama hujafanya huwezi kuvielewa thamani haipimwi kwa kulala giraffe wala mbelikwe kutmbwa ni kutmbwa tu
Ndio maana huwa nakupenda Evelyn
 
First Data - Kiti cha nyuma cha gari...

Second Date - Kiti cha baa bubu

Third Date - Gesti ya Buku 5

Fourth Date - Gesti ya Buku 15
....
Final Date - Kinondoni Makaburini....
 
Unaweza ukapelekwa Giraffe hotel na bado unachezewa,
Unaona ana spend kwako bichwa linajaa kumbe hamna kitu,
Wewe siku zote unabadilishiwa mahoteli lakini hata mlango wa nyumba take hauhujui!
 
Ha ha ha ha ha nakucheka kwa dharau. Hivi wenzako wanapelekwa Girrafe hotel wewe unapelekwa kiwanja cha shule usiku wa manane unapigwa mbu dah wanaume nawaona au kwa vile viwanjani hakuna hata duka?

Unasimamishwa wewe hadi uchoke tena wanawake wengine hapohapo uwanjani watavua nguo dah siku mbili mimba unakimbiwa.

Usipojua thamani yako utaumizwa tu.
dah mkuu umenikumbusha mbali sana dem wangu nikiwa advance tulikua tunakutania shule pale pale lazma anipe mambo dah mungu amjalie kwa kweli mume atakaekuja kumuoa
 
Hivi uthamani ni kwa mwanamke peke yake? Huyo mwanaume anayefanya na huyo mwanamke vichochoroni thamani yake iko wapi? Maana hapo inaonyesha as if mwanamke ndio amekomeshwa wakati wote wawili kwa ridhaa yao wameamua kufanyia uchochoroni.
Wote wanakoma na hayo mazingira.

.
.
Unaweza pelekwa giraffe hotel sijui wapi lakini ukawa hupendwi, unachezewa na kudharauliwa kama hao waliopelekwa viwanja vya shule kwenye mbu.
.
.
Eti unasimamishwa weee! Sasa huyo mwanaume anakuwa amekaa kwenye sofa au?
.
.
Na huko giraffe hotel ndio mimba hazitungwi na kukimbiwa?
.
.
Mapenzi popote pale, inategemea na makubaliano na hali pia. Kuchezewa/kuchezeana/kudanganyana kupo pale pale!
 
Kile kichwa cha chini huwa hakiangalii mazingira aisee! hata kwenye mtaro twende kazi......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom