Hujawahi kumtongoza, lakini....................... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hujawahi kumtongoza, lakini.......................

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sinai, Apr 29, 2011.

 1. Sinai

  Sinai JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 289
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani, kuna rafiki yangu wa karibu sana kaniambia kuwa yeye anaurafiki na dada mmoja hivi (urafiki wa kawaida tu) kwa muda mrefu sasa! Hajawahi kumtongoza hata siku moja, lakini juzi kati hapa, jamaa akapata mchumba na anataka kwenda kutoa posa. Lakini alipomwambia huyu binti ambaye ni rafiki yake wa kawaida juu ya swala hilo, huyo rafiki alikasirika sana, akamjibu hovyo kuwa kwanini anamwambia mambo yao? Ili aumie moyo au? Akawa anafyonya hovyo na kuondoka zake. Tangu siku hiyo hata akimpigia simu hapokei, hata sms hajibu! Sasa jamaa anashangaa, tatizo/kosa lake ni lipi? Anaomba msaada wana jamiii!!!!!!!!!!!!!
   
 2. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,468
  Likes Received: 3,740
  Trophy Points: 280
  Msichana alichelewa kutoa hisia zake
  alikuwa anasubiri kuambiwa
  ili kuendeleza urafiki wao amwite amweleze
  kwamba hakuwa na feelings zozote juu yake
   
 3. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Huyo rafiki yako asiende kutoa posa huko mke anaye hapohapo ambaye tayari ni marafiki na ndoa yao itakuwa nzuri,hamna ndoa nzuri kama ya marafiki.
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Apr 29, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Sinai umeanza sasa.........................
   
 5. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kaanza nini ? jibu hoja. Halafu Dena hata salamu ?
   
 6. RR

  RR JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Urafiki wa mwanamke na mwanaume...........orite!
   
 7. Sinai

  Sinai JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 289
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dena! Nimeanza nini mpenzi????????????????????????
   
 8. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  duuhh!!!!
   
 9. S

  Skype JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Binti alichelewa kuonyesha hisia zake mapema, so acha alie tu
   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 420,741
  Trophy Points: 280
  PHP:
  [B] [IMG]https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon1.png[/IMG] Hujawahi kumtongoza, lakini....................... [/B]

      
  Jamani,  kuna rafiki yangu wa karibu sana kaniambia kuwa yeye anaurafiki na dada  mmoja hivi (urafiki wa kawaida tukwa muda mrefu sasaHajawahi  kumtongoza hata siku mojalakini juzi kati hapajamaa akapata mchumba  na anataka kwenda kutoa posaLakini alipomwambia huyu binti ambaye ni  rafiki yake wa kawaida juu ya swala hilohuyo rafiki alikasirika sana,  akamjibu hovyo kuwa kwanini anamwambia mambo yaoIli aumie moyo au?  Akawa anafyonya hovyo na kuondoka zakeTangu siku hiyo hata akimpigia  simu hapokeihata sms hajibuSasa jamaa anashangaatatizo/kosa lake  ni lipiAnaomba msaada wana jamiii!!!!!!!!!!!!!
  It is too late to catch the train now it has left the station........................................ukikamata mahali pashikilie vinginevyo utajikuta wajanja wamekuchukulia mali yako................................kwa akina dada ujumbe ni kuwa kama una jamaa yako mmeshibana vizuri mwulize ana miipango gani na wewe ya muda mrefu ili uelewe mnatoka wapi. mmpo wapi na mwaelekea wapi................................prepare your partner or someone will prepare your partner to your utmost anguish.......................

  Huyu mke wa Prince Williams ni somo zuri hapo ilifika mahali alimwuliza prince hivi hili husiano malengo yake ni yepi.......................prince akamjibu kuwa ni urafiki tu..................yule binti akasema mimi usinipotezee muda wangu ni mtu ninataka kuolewa kama haupo tayari basi tuachane.........ili usinizibie riziki maana wapo wanaonihitaji zaidi yako......................uhusiani ulivunjwa na prince aliporudi akaulizwa upo tayari kunioa au unataka kuendeleza zila soga za mwaka 47 ......prince akasema nipo tayari...........................................Binti alimwandaa mzee wake na leo wamefunga pingu za maisha.............................................................do we learn something there???????????
   
 11. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Sinai umegusa penyewe kabisa, hili swala linatutesa sana.Urafiki wa mwanaume na mwanamke, watu wengi hawaamini katika hilo... Tubadilike sio lazima tutongozane tunaweza kuwa marafiki wazuri tu bila kwenda mbali zaidi amuelimishe kwa hilo, it's sad to lose a friend. :frusty:
   
 12. Nemo

  Nemo JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 80
  Rutashubanyuma:
  Im all for openess, however tatizo ni kuwa nyinyi kaka zetu when it comes time to discuss the "when" or where the relation is heading,
  instead of telling it like it is, inakuwa " ohh unaharakisha mambo, ohh this woman is desperate, oh this and that" even though moyoni you already know...........................urrrrrrrrrrrghhhhhhhhhh :eyeroll1:!
   
 13. chiko

  chiko JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hapo sioni kama tumefika sisi waafrika, eti mna-share mpaka Bedroom, lakini ni marafiki tu hakuna lingine!!!!!!!!!
   
 14. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kuna jamaa nae thread yake nahisi bado inajadiliwa yamemkuta hayo.pole alikuwa anampenda ndio maana kafanya hivyo, kazi kwa huyo dada sasa
   
 15. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kama kweli huyo dada ni rafiki yake alitakiwa kufurahia hiyo habari. Mwambie huyo kijana amwache kwanza kwa muda. akimbembeleza alafu akute kumbe huyo dada ana feelings za mapenzi atafanya nini na yeye almost anamchumba tayari? urafiki wa kweli hauwezi kuvunjika na hayo. akubali huyo dada hakua rafiki yake na aendelee safari na mpenzi wake
   
 16. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #16
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ha ha haaaa mkuu, sasa hiyo inakuwa ni kutegana! yote mtafanya lakini hilo.... No way.
   
 17. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #17
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
   
 18. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #18
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,025
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Penzi haliji kwa kudhania,inataka dhamira ya dhati.Imekula kwake.
   
 19. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #19
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,643
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Tatizo hawakuwa wazi juu ya maisha yao binafsi na ktk stori zao hawakuwekana wazi juu ya maisha yao binafsi.
  Hivo sioni kama walikuwa marafiki sana. Halafu jamaa yako hakuwa anaonesha hisia za mapenzi kwa huyo dada? Maana naye huenda alikuwa haiishi kumtania,sasa mwenzie akachukua serious.
   
 20. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #20
  Apr 29, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  The new Princes is looking for a PA. Kaka utamfaa? Lakini kweli hii issue inatokea sana. Labda ni kwa sababu ya culture zetu and sometimes cost the ladies. Lakini hata kama jaama likuwa anampenda kivingine angemwelezea tuu. May be he was not interested to her in that way ndio maana kaenda kuchumbia kwingine.
   
Loading...