Hujawahi kumtongoza, lakini.......................

Na mimi nilisoma hii kitu mahali. Kate ana akili sana. Ni role model kwa mabinti wa kileo. Maana wengine kwa kuwa ni prince wangekubali hata kuwa vimada yeye kasema no. Kama unataka kunifuja tu anza mbele. Safi sana aisee.

PHP:
[B] [IMG]https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon1.png[/IMG] Hujawahi kumtongoza, lakini....................... [/B]
 
    Jamani,  kuna rafiki yangu wa karibu sana kaniambia kuwa yeye anaurafiki na dada  mmoja hivi (urafiki wa kawaida tu) kwa muda mrefu sasa! Hajawahi  kumtongoza hata siku moja, lakini juzi kati hapa, jamaa akapata mchumba  na anataka kwenda kutoa posa. Lakini alipomwambia huyu binti ambaye ni  rafiki yake wa kawaida juu ya swala hilo, huyo rafiki alikasirika sana,  akamjibu hovyo kuwa kwanini anamwambia mambo yao? Ili aumie moyo au?  Akawa anafyonya hovyo na kuondoka zake. Tangu siku hiyo hata akimpigia  simu hapokei, hata sms hajibu! Sasa jamaa anashangaa, tatizo/kosa lake  ni lipi? Anaomba msaada wana jamiii!!!!!!!!!!!!!

It is too late to catch the train now it has left the station........................................ukikamata mahali pashikilie vinginevyo utajikuta wajanja wamekuchukulia mali yako................................kwa akina dada ujumbe ni kuwa kama una jamaa yako mmeshibana vizuri mwulize ana miipango gani na wewe ya muda mrefu ili uelewe mnatoka wapi. mmpo wapi na mwaelekea wapi................................prepare your partner or someone will prepare your partner to your utmost anguish.......................

Huyu mke wa Prince Williams ni somo zuri hapo ilifika mahali alimwuliza prince hivi hili husiano malengo yake ni yepi.......................prince akamjibu kuwa ni urafiki tu..................yule binti akasema mimi usinipotezee muda wangu ni mtu ninataka kuolewa kama haupo tayari basi tuachane.........ili usinizibie riziki maana wapo wanaonihitaji zaidi yako......................uhusiani ulivunjwa na prince aliporudi akaulizwa upo tayari kunioa au unataka kuendeleza zila soga za mwaka 47 ......prince akasema nipo tayari...........................................Binti alimwandaa mzee wake na leo wamefunga pingu za maisha.............................................................do we learn something there???????????
 
Ndio maana nilishasemaga siku nyingi hakuna urafiki kati ya mtoto wa kike na wakiume. Mmeona? Wewe waweza ukawa huna ili wala lile kumbe mwenzio anakuchukulia kivingiine. Nimeshaona hata vyuoni. Kuna wadada/ wakaka walikuwa karibu sana na opposite sexes lakini most of the times walikuwa wanaoneana wivu kitu ambacho kilikuwa kinafanya jamii isielewe kama ni marafiki tu au wana do.

Sinai umegusa penyewe kabisa, hili swala linatutesa sana.Urafiki wa mwanaume na mwanamke, watu wengi hawaamini katika hilo... Tubadilike sio lazima tutongozane tunaweza kuwa marafiki wazuri tu bila kwenda mbali zaidi amuelimishe kwa hilo, it's sad to lose a friend. :frusty:
 
Kwanza ukiwa close na mwanaume ambaye huna mahusiano nae huoni kuwa unajizibia bahati. Maana walio serious kutangaza nia watajua mdada uko kwenye relationship. Shauriyenu mnaokuwa benet na opposite sexes kupita kiasi. Na ina maana wote hawakuwa na partners before? Maana muda wa kuwa na partner wako unatoa wapi kama kila saa uko na mtu mwingine? Kwa kweli sielewi labda wenye experience na urafiki wa hivyo watuhabarishe inakuwaje aisee.
 
Back
Top Bottom