Hugo Chavez

Hugo Chavez

Hapana mkuu, sithubutu kufanya hivyo, najaribu kusikitika tu kwa msiba huu mzito
Mkuu Kunta Kinte tupo pamoja na wenzetu hawa katika hiki kipindi kigumu cha maombolezo ya siku saba (07). Hata hivyo ni Mola tu ndiye atawapa faraja ya kweli.
 
Mwenyezi Mungu alaze mahali pema.dunia imepoteza jembe.
 
Hivi kwanini sikuzote Makamanda wa Ukweli ndio hupatwa na Masaibu...? I wish ningeweza ku-appeal kwa Sir God kweli ningefanya hivyo
 
Back
Top Bottom