Hugh Masekela hatunae tena

rushanju

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
3,130
4,620
Mwanamziki mkongwe nchini Afrika ya kusini Hugh Masekela amefariki nyumbani kwake Mpumalanga baada ya kupigania uhai wake kwa muda. Amekufa kwa ugonjwa wa saratani ya Tezi dume. Mwana mziki huyu ndiye mume wake wa kwanza na mama Miriam Makeba. Alizaliwa Mpumalanga mwaka 1936. Bwana Ametwaa
 
Kwa wanaofatilia Music wa Jazz watakuwa wanamuelewa sana ila kama Music wako ni wa kina Nassib and Ally pita pemben
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom