Benny
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 3,275
- 5,416
Msawazo inakuaje thatha ee
Thata msawazo ni ile tunapeana mabega tu aka niggaz hug
Msawazo inakuaje thatha ee
Hilo ni la mtu na mpenzi wake..Mnakumbatiana zero distance huku part ya mbele ya miili yetu ikiwa imegusana(vifua,tumbo,pale kati,miguu n.k)Msawazo inakuaje thatha ee
Mhhh hiyo ni hug mkazo mwayaaaaHilo ni la mtu na mpenzi wake..Mnakumbatiana zero distance huku part ya mbele ya miili yetu ikiwa imegusana(vifua,tumbo,pale kati,miguu n.k)
Mhhh hiyo ni hug mkazo mwayaaaa
Hhhha nshachukua desa kitambo thaaanaaaaHahah mbona umetisha sana yaan utakua ushabeba notice zangu zote
Hhhha nshachukua desa kitambo thaaanaaaa
Hilo sasa hug msuguoHilo ni la mtu na mpenzi wake..Mnakumbatiana zero distance huku part ya mbele ya miili yetu ikiwa imegusana(vifua,tumbo,pale kati,miguu n.k)
Kweli tuwaachie wazungu sisi ngozi ngumu hisia zetu na akili zipo karibu.Huchelewi kutoa shati kama ulikuwa umechomekea baada ya mkumbatio.Mi ma hug hapana, mkono unatosha
Duh!kumbe kuna aina za hug?funguka basi hiyo moja tayari.Hilo sasa hug msuguo
Unaongelea hug lipi hapa
Kuna hug mkazo..
hug mlegezo na
hug msawazo!
picha tafadhali
nina picha ya hug mlazo tu
Siyo jambo baya... mimi nakumbatia sana marafki wa kike... na nikawaida tu... na saa zingine nakumbatia na matako...
Mkuu benny madesa yako mengi sana aiseee umeongeza aina nyingine tena ya hug