Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 7,823
- 10,869
1725Tsh. = $0.75Hiyo 0.75$ ni sawa na madafu bei gani? inaweza kuwa inacheza roughly kwenye 1500/= japo GB moja kwenye mitandao mingi ni 2000/= hiyo itabidi uitumie kwa siku, ukitaka kutumia kwa wiki utalipia 14,000/= sasa hizi si ndio zile bei zililalamikiwa juzi?
Hapo hakuna hata dakika moja ya kuongea, ukitaka na dakika za kuongea kwa bei hiyo ujue watapunguza MB, kwangu naona bado gharama za internet Tz haziridhishi.